Ni kweli matumizi ya ATM card hufika muda yakaisha na ni jukumu la benki kuandaa card nyingine kwa wateja wake.LIPO tatizo la wateja walio mbali na matawi walikofungulia ambako wanafuata ATM CARD mpya.Kama upo mbali unajaza fomu ili uletewe kadi yako,sasa mimi nilishajaza fomu lakini leo ni mwezi wa Sita,,unaambiwa kadi haijafika.Huu ni uzembe,kama hii huduma ya kuwaletea kadi wateja kutoka mbali hamuiwezi,,iacheni.Hakuna anaefurahia kupanga foleni ndani.