NMB Chap Chap Account mtapoteza wateja badilikeni

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,945
Reaction score
4,505
Imezoeleka NMB ni bank ya wafanyakazi wa serikali, lakini wanatafuta wateja kwa nguvu wakiwemo wafanyabiashara ili waweze kutumia huduma ya NMB ambayo ilikimbiwa. Sasa wameanzisha kitu kinaitwa NMB Chap Chap Account ambapo mteja anaweza toa mpaka m.5 lakini ukiwezeshwa kwa kupeleka wadhamini na barua za serikali za mitaa wanakuwezesha akaunti hii utoe zaidi ya m.5 cha ajabu hawa NMB hawajapa elimu mameneja wao wa matawi ukienda kutoa mzigo unao zidi m.5 unaambiwa uende uliko fungulia akaunti mfano umefungulia Kyera upo Dar unataka ufanye biashara wanakulazimisha uende Kyera ukatoe mzigo, usumbufu huu unasababisha wateja kuamua kuwakimbia na kuwaachia mwendelee kubanana na wafanyakazi, badilikeni mameneja nyie mnakera sana uvivu gani unakuzuia usiangalie kama account imewezeshwa? Fukuzeni hao
 
A

Acha kupotosha.
 
Sawa mkuu umieleweka. Ila nisaidie mimi ambae nimienda kujiunga leo hii. Baada yakujiunga waminiletea ujumbe ambao unasema. Tafadhari sibitisha usajili wa kadiyako kabra ujaanza kutumia NMB mobile
 
Imezoeleka NMB ni bank ya wafanyakazi wa serikali, lakini wanatafuta wateja kwa nguvu wakiwemo wafanyabiashara ili waweze kutumia huduma ya NMB ambayo ilikimbiwa. Sasa wameanzisha kitu kinaitwa NMB Chap Chap Account ambapo mteja anaweza toa mpaka m.5 lakini ukiwezeshwa kwa kupeleka wadhamini na barua za serikali za mitaa wanakuwezesha akaunti hii utoe zaidi ya m.5 cha ajabu hawa NMB hawajapa elimu mameneja wao wa matawi ukienda kutoa mzigo unao zidi m.5 unaambiwa uende uliko fungulia akaunti mfano umefungulia Kyera upo Dar unataka ufanye biashara wanakulazimisha uende Kyera ukatoe mzigo, usumbufu huu unasababisha wateja kuamua kuwakimbia na kuwaachia mwendelee kubanana na wafanyakazi, badilikeni mameneja nyie mnakera sana uvivu gani unakuzuia usiangalie kama account imewezeshwa? Fukuzeni hao

Kyela
 
NMB wameanzisha mtindo wa kujiongezea pesa kwa kipindi hiki.
Kila wakiona watumishi wa serikali wameingiziwa mishahara ya mwisho wa mwezi wana zifunga kadi za ATM ili zisifanye kazi.

Zoezi hili linawalazimisha watumishi kuchukua mishahara yao dirishani na kuwakata Shilingi elfu nne Tsh 4,000/- kwa kila mtumishi anapo chukua pesa yake dirishani.
Jambo hili linasababisha usumbufu mkubwa kwa watumishi wanaoishi mbali na matawi ya Benki ya NMB.

NMB acheni tabia hiyo ya kuwaibia wateja pesa zao, kila mwisho wa mwezi mnaziblok makusudi kadi za ATM hasa zile za bluu ambazo ndio nyingi.

MJIREKEBESHE TABIA YENU HARAKA SANA TUMEISHA WASHITUKIA.
 
NMB badilikeni acheni kufanya mambo kishambaaa kiukweli binafsi mnaboaa
 
Nachukia sana NMB na CRDB wanavyopenda kuona wateja wamejazana tu huku viyoyozi havifanyi kazi
Ni umbumbu tu,kama wateja wengi kwa nini msiongeze matawi.kwa mfano mlimani mnaweka matawi mawili tofauti ili mteja akae benki dakika 5 tu.
NMB unaweza kuta madirisha 6,lakini yanayofanya kazi ni mawili tu,meneja yupo very happy, kainama muda wote hana hata anachofanya
 
Hivi hiyo akaunti ya chapchap unaweza ifanya ikawa akaunti ya kuwekewa mshahara?
 
NMB wameanzisha mtindo wa kujiongezea pesa kwa kipindi hiki.
Kila wakiona watumishi wa serikali wameingiziwa mishahara ya mwisho wa mwezi wana zifunga kadi za ATM ili zisifanye kazi.

Zoezi hili linawalazimisha watumishi kuchukua mishahara yao dirishani na kuwakata Shilingi elfu nne Tsh 4,000/- kwa kila mtumishi anapo chukua pesa yake dirishani.
Jambo hili linasababisha usumbufu mkubwa kwa watumishi wanaoishi mbali na matawi ya Benki ya NMB.

NMB acheni tabia hiyo ya kuwaibia wateja pesa zao, kila mwisho wa mwezi mnaziblok makusudi kadi za ATM hasa zile za bluu ambazo ndio nyingi.

MJIREKEBESHE TABIA YENU HARAKA SANA TUMEISHA WASHITUKIA.
Duuuuh,NMB kutolea dirishani ni 4,000/= CRDB ni 2,500/= tu aiseee
 
Back
Top Bottom