Tumia Play store ndugu. Kama unashida nayo. Ila faida ya hii App ni kwamba labda upo mbali na line ambayo ulijisajilia Nmb mobile ndio inatoa msaada hapo kama ilivyo ya tigo pesa haina ulazima kwamba iwe ni line uliyo jisajilia kwenye huduma husuka.
Ukiwa umeshajiandikisha huwezitumia simu ya mtu mwingine mwenye hiyo app ona goma?Nimejaribu ku-login toka Simu nyingine imegoma. Sijui ni kwangu tu au ndo ilivyo. Hebu wadau jaribuni na nyinyi.
Kama ni hivyo basi ki-security ni nzuri lakini sioni ubunifu wowote mpya! Ndo Ile nilisema ni NMB Mobile imrpatiwa GUI mpya basi.
Ipo mkuu mkuu
Na inatangazwa sana tu mbona.
Ilikuhakiki piga menu ya NMB MOBILE KISHA ANGALIA KIPENGELE NAMBA TANO.
Sorry piga *150*66#
Chagua 6 kisha chagua 4
Sorry piga *150*66#
Chagua 6 kisha chagua 4
Ukiwa umeshajiandikisha huwezitumia simu ya mtu mwingine mwenye hiyo app ona goma?
Hii App itasaidia kama huna line uliyo jisajili na nmb mobile au ipo mbali na unashida na nm mobile.
Kama iivyo tigopesa hatakama line ya tigo haipo kwenye simu unapata hudumaa tu.
Changamoto hizi ap zipo ki internet zaidi