Nmb app

Nmb app

SangaweJr

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
2,990
Reaction score
2,669
Mwanzo tuliona app kama tigo pesa wadau wakaizungumziaaa maswala ya security nk.
Hebu tuiangalie na Nmb app kwa walio itumia mnaizungumziaje ukizingatia ni ishu nyeti maswala ya pesa haya.
 
Ipo ya Android pekee.
Angalia play store.
 
WANAIJERIA KWA WIZI WA MITANDAO WAKO KATIKA UBORA WAO KABISA, YANI WAMEVAMIA Tz KAMA SIAFU

Ok kama hivyo ndivyo.sasa turudi kwenye mada kuu.
Hiyo App inaweza kukabiliana na hao wanaijeria.
Maana usajili wake na utendaji kazi ni kama menu yao ile ya nmb mobile ya kawaida.
Kilichoongezeka ni kutumia mobile data, kuingiza user name na passward kila ukitaka kuitumia.
Kukuonesha Atm zilipo kilingana na eneo ulipo nk.
Na nilazima ujisajili kwanza kwenye menu ile ya kawaida *150*66#
Ndio uje utumie hiyo App.
 
Mimi nina wasiwasi nayo kwa kuwa haina ile nembo ya nmb.
Mbona app ya nbc ina nembo kabisa? Au ni nmb ya nchi nyingine?
 
Bado naiogopa asee, wanaijeria.

Mbona mabenki makubwa duniani yana apps zao? Tena zinafanya kazi vizuri sana?
Usalama wa app ya benki unaanzia kwako, umiliki wako wa simu na matumizi yake.
Wanigeria na hackers wote wanaanzia kupitia kwenye simu yako, kama unaweka simu yako hovyo lazima wakulize.
Kutumia app za kibenki au zinazohusu mambo ya pesa hakikisha kwanza simu yako ipo salama ndo mengine yafuate.
 
NMB App ipo Kwenye play store na Mimi nishaanza kuitumia. Kimsingi sijaona kitu cha ajabu Labda naweza Sema ni NMB Mobile imepata Graphic User Interface ya kisasa!

Kimsingi inategemea channel ambayo tayari ipo yaani NMB Mobile.

Ili uitumie ni lazima uwe tayari umejiunga na NMB Mobile. Kumbuka Pia kujiunga NMB Mobile ni lazima uwe na ATM card (Unatumia ATM kujiunga NMB Mobile).

Kutumia NMB App unajisajili kupata akaunti (username+password) kwa NMB Mobile na Simu yako itaweza kuitumia hiyo app ikiwa na hiyo line tu (namba ya Simu uliyosajilia NMB Mobile. Maana yake ni kuwa kama Mtu Aki-crack NMB Mobile ndo basi tena!
 
Nakubaliana nawe. Asilimia kubwa ya Wizi unaotokea huanzia kwa mtumiaji!

Yaani wengine hata wakipigiwa Simu na matapeli wakaongeleshwa kidogo wanatoa mpaka pin (password) zao! Wanawaachia matapeli kuswap Simu zao na Kuhamisha Pesa.

Security ikianza na mtumiaji (mteja) tunakuwa tumeondoa tatizo kwa zaidi ya 50% - inabaki kazi kwa wale wezi wa kimataifa!
 
Mm nime download tayari Lkn naogopa Kujiunga naona km Luna utapeli hapo.hebu nipeni uhakika .na km tayari ulishajiunga na nmb mobile na ln ingine waweza jiunga tena kupitia mfumo huu kwa ln ingine tena?pls nijuzeni hili
 
NMB App ipo Kwenye play store na Mimi nishaanza kuitumia. Kimsingi sijaona kitu cha ajabu Labda naweza Sema ni NMB Mobile imepata Graphic User Interface ya kisasa!

Kimsingi inategemea channel ambayo tayari ipo yaani NMB Mobile.

Ili uitumie ni lazima uwe tayari umejiunga na NMB Mobile. Kumbuka Pia kujiunga NMB Mobile ni lazima uwe na ATM card (Unatumia ATM kujiunga NMB Mobile).

Kutumia NMB App unajisajili kupata akaunti (username+password) kwa NMB Mobile na Simu yako itaweza kuitumia hiyo app ikiwa na hiyo line tu (namba ya Simu uliyosajilia NMB Mobile. Maana yake ni kuwa kama Mtu Aki-crack NMB Mobile ndo basi tena!
Mkuu umeongea vizuri sikuzote kuibiwa huwa kunaanzia na umakini wako wewe mwenyewe.
Mimi nashangaa mtu anasema eti wanaijeria wakati hapo kitaani kwao tu wezi wamejaa telee kama kuibiwa hata pesa zikiwa ndani watazifuata tu.
 
Mimi nina wasiwasi nayo kwa kuwa haina ile nembo ya nmb.
Mbona app ya nbc ina nembo kabisa? Au ni nmb ya nchi nyingine?
Tumia Play store ndugu. Kama unashida nayo. Ila faida ya hii App ni kwamba labda upo mbali na line ambayo ulijisajilia Nmb mobile ndio inatoa msaada hapo kama ilivyo ya tigo pesa haina ulazima kwamba iwe ni line uliyo jisajilia kwenye huduma husuka.
 
wanafanya spam tu ushawahi skia hacker wa kinigeria?

Chief hebu tupe mrejesho kidogo kama umeshaijaribu lkn.
Naona watu wanapesa za kununulia gari ila anakubali atembee kwa miguu eti akinunua gari litaibiwa.
 
Mkuu umeingea vizuri sikuzote kuibiwa huwa kunaanzia na umakini wako wewe mwenyewe.
Mimi nashangaa mtu anasema eti wanaijeria wakati hapo kitaani kwao tu wezi wamejaa telee kama kuibiwa hata pesa zikiwa ndani watazifuata tu.
Na ukizingatia ilivyo ipo tofauti na Tigo pesa App yenyewe hadi uingize User name na passward nilivyo ielewa mimi hii app kama mtu alishajisajili akaingiza data zake kwenye simu yangu mimi atatumia akaunti yake akimaliza inajifunga na mimi nikiwa nashida niingize data zangu. ( mfano mzuri ilivyo facebook nk ambazo zinataka hadi uingize user name na passward)

Kaka kuna kitu kinaitwa phishing na wanigeria wanapenda sana mambo haya. Mtu anakutengenezea UI ile ile kama nmb na unaekewa sehemu za kulogin, ukieka user na pass zinaenda kwao then wakizipata wanakuibia.
 
Chief hebu tupe mrejesho kidogo kama umeshaijaribu lkn.
Naona watu wanapesa za kununulia gari ila anakubali atembee kwa miguu eti akinunua gari litaibiwa.

Mrejesho kuhusu hao wanigeria? Wengi wao wanafanya copy and paste ya kazi za watu. Mfano ukienda forums zao utakuta maelfu ya hacking lakini hawajatengeneza wao kitu hata kimoja wanacopy tricks za philipines, India, china, Indonesia nk
 
Ngoja niicheki hii kitu vizuri,, ila sijawahi kusikia NMB wakizungumzia hii..!!
 
Back
Top Bottom