NMB acheni uzembe, mnachefua sana

NMB acheni uzembe, mnachefua sana

Tatizo wanadhani third party authentication ina provide ulinzi madhubuti ,kumbe ni moto wa karatasi zilizotota na maji[emoji41][emoji41]
It experts wa nmb inaonekana sio mahiri

Sent
 
Hi kwa wana jeiefu wote natumaini tuwazima wa afya, kwa wagonjwa na wenye shida mbalimbali m/Mungu awasaidie na kuwaonekea kwenye maisha yenu.

Moja kwa moja bila kupoteza muda nimeamua kuwapandia hewani NMB Bank, hii ni benki inayojinasibu kumiliki matawi mengi hapa nchini Tanzania na blah blah kibao, lakini nimekuja kugundua IT experts wao ni watu wa ovyo sana mshahara wanakula bure tu,bora hata waongezewe kazi ya ku "repair" hata bulb kuliko ujinga wanaoufanya.

Leo majira ya jioni mida ya saa 1 nikiwa nimetuliza kichwa baada ya kutoka kwenye majukumu mara gliii gliii kuangalia ni meseji kutoka Nmb, nikaifungua na kuanza kuisoma la haula! kwa mbwembwe za kiwango cha ndege ya concorde wameanza kuandika mtejaSOPHIA sasa nikajiuliza hii makusudi au kusema mimi taarifa zangu hawana hawajui ninaitwa nani mpaka ninaitwa jina la kike, uandishi wao mbovu unaweza ukayumbisha hadi ndoa yangu.

Mke atadhani ni jina la kampango ka kando kumbe wapi, sasa kama taarifa ndogo kama hiyo mnakosea itakuwaje kuhusu fweza zetu ambazo mna "deduct" kila baada ya mda, hivi kweli nikiamua niwe serious kupiga calculations na mhasibu wenu kuhusu pesa za account yangu mnadhani mtaepuka makosa.

Mnapoteza uaminifu kwa kuwa incorrect kwenye vitu vidogo tu, ukipiga simu huduma kwa wateja mnanisubirisha zaidi ya dk 15 kweli tutafika? 😥😥😥😥😥😥😥😥.

View attachment 1515301View attachment 1515302
Pole sana mkuu. Vijana wanapenda bata kuzidi kazi.
 
Kimsingi hizo benki zenu mm nazitumia kupokelea salary na posho tu,huduma zingine natumia private banks,angalau NBC Kuna nafuu
 
Back
Top Bottom