NMB acheni uzembe, mnachefua sana

NMB acheni uzembe, mnachefua sana

Hi kwa wana jeiefu wote natumaini tuwazima wa afya, kwa wagonjwa na wenye shida mbalimbali m/Mungu awasaidie na kuwaonekea kwenye maisha yenu.

Moja kwa moja bila kupoteza muda nimeamua kuwapandia hewani NMB Bank, hii ni benki inayojinasibu kumiliki matawi mengi hapa nchini Tanzania na blah blah kibao, lakini nimekuja kugundua IT experts wao ni watu wa ovyo sana mshahara wanakula bure tu,bora hata waongezewe kazi ya ku "repair" hata bulb kuliko ujinga wanaoufanya.

Leo majira ya jioni mida ya saa 1 nikiwa nimetuliza kichwa baada ya kutoka kwenye majukumu mara gliii gliii kuangalia ni meseji kutoka Nmb, nikaifungua na kuanza kuisoma la haula! kwa mbwembwe za kiwango cha ndege ya concorde wameanza kuandika mtejaSOPHIA sasa nikajiuliza hii makusudi au kusema mimi taarifa zangu hawana hawajui ninaitwa nani mpaka ninaitwa jina la kike, uandishi wao mbovu unaweza ukayumbisha hadi ndoa yangu.

Mke atadhani ni jina la kampango ka kando kumbe wapi, sasa kama taarifa ndogo kama hiyo mnakosea itakuwaje kuhusu fweza zetu ambazo mna "deduct" kila baada ya mda, hivi kweli nikiamua niwe serious kupiga calculations na mhasibu wenu kuhusu pesa za account yangu mnadhani mtaepuka makosa.

Mnapoteza uaminifu kwa kuwa incorrect kwenye vitu vidogo tu, ukipiga simu huduma kwa wateja mnanisubirisha zaidi ya dk 15 kweli tutafika? 😥😥😥😥😥😥😥😥.

View attachment 1515301View attachment 1515302
Ilo jina utakua unausiana nalo
 
Mi nimechoka na app yao ya Nmb mkononi, siku hizi kila uki log in inatumia confirmation codes via sms , ndipo uendelee,

Hivi hao It experts wao wameshindwa kabisa kujua sababu ya hizi bank apps? kwamba zikusaidie wakati hata upo mbali na nchi husika ? maana nmb mkononi huwezi kutumia kama sim card haipo hewani maana hutapata confirmation sms, hata kama kuna internet.
Hakuna njia nyingine ya kupokea confirmation code tofauti na sms? Iwe email mfano.
 
Hi kwa wana jeiefu wote natumaini tuwazima wa afya, kwa wagonjwa na wenye shida mbalimbali m/Mungu awasaidie na kuwaonekea kwenye maisha yenu.

Moja kwa moja bila kupoteza muda nimeamua kuwapandia hewani NMB Bank, hii ni benki inayojinasibu kumiliki matawi mengi hapa nchini Tanzania na blah blah kibao, lakini nimekuja kugundua IT experts wao ni watu wa ovyo sana mshahara wanakula bure tu,bora hata waongezewe kazi ya ku "repair" hata bulb kuliko ujinga wanaoufanya.

Leo majira ya jioni mida ya saa 1 nikiwa nimetuliza kichwa baada ya kutoka kwenye majukumu mara gliii gliii kuangalia ni meseji kutoka Nmb, nikaifungua na kuanza kuisoma la haula! kwa mbwembwe za kiwango cha ndege ya concorde wameanza kuandika mtejaSOPHIA sasa nikajiuliza hii makusudi au kusema mimi taarifa zangu hawana hawajui ninaitwa nani mpaka ninaitwa jina la kike, uandishi wao mbovu unaweza ukayumbisha hadi ndoa yangu.

Mke atadhani ni jina la kampango ka kando kumbe wapi, sasa kama taarifa ndogo kama hiyo mnakosea itakuwaje kuhusu fweza zetu ambazo mna "deduct" kila baada ya mda, hivi kweli nikiamua niwe serious kupiga calculations na mhasibu wenu kuhusu pesa za account yangu mnadhani mtaepuka makosa.

Mnapoteza uaminifu kwa kuwa incorrect kwenye vitu vidogo tu, ukipiga simu huduma kwa wateja mnanisubirisha zaidi ya dk 15 kweli tutafika? 😥😥😥😥😥😥😥😥.

View attachment 1515301View attachment 1515302
 
Walikuwa hacked, maana hizo text karibu kwa kila mteja wao.
 
...Samahanini ndugu zangu nimebalishwa Nina.
Kwa mujibu was benki yetu pendwa NMB toka Jana jiono Mimi ninaitwa MODESTA...!!
 
Hii simu ni itel ila wana JF kwa kujikweza tu sasa screen shots nyingi zinaonesha watu wengi wanatumia itel,Infnix na Tecno
Hapana sio itel, Ila Ni moja Kati ya michina lkn so miongoni ulizotaja hapo...wewe unaejishusha unatumia sim Gani mzee?
 
mie nmeitwa Yunus maana kwa kushtuka ikabidi niwapigie mpka na simu na fasta nkcheki salio langu maana roho ilinipasuka kama bomu nkajua wazee wa hacking washakomba vicent vyngu
20200724_201122.jpg

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom