WomanOfSubstance
Platinum Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 975
Hmmm haya tutaona ila kwa jinsi niijuavyo miafrika sitegemei lolote lile. Muda utatueleza
dadangu, hayo mabadiliko kama yapo basi ni kiduchu sana na hivyo kupelekea kuonekana kama hayapo.Tukikata tamaa hivi NN, HAPANA!Unadhani toka watanzania waanze kusema hakuna mabadiliko?
Hmmm haya tutaona ila kwa jinsi niijuavyo miafrika sitegemei lolote lile. Muda utatueleza
mimi nadhani tunahitaji watu na sio mtu tu mwenye skill set(s) za kuongoza, bali pia walio wabunifu na wenye uchungu na wenye uadilifu uliotukuka. Mimi napenda pia wawe wakali na wafuatiliaji wa mambo pia.tatizo sio kiongozi asiye na uchungu...tatizo ni kiongozi mwenye skillz needed kwa kuongoza watu.......tunahitaji Rais CEO anayejua kukusanya details na kusoma takwimusio hawa wanasiasa wanaojua kubwabwaja majukwaani.....but mfumo tulionao, ma CEO hawako hata kwenye consideration ya watu....
mimi nadhani tunahitaji watu na sio mtu tu mwenye skill set(s) za kuongoza, bali pia walio wabunifu na wenye uchungu na wenye uadilifu uliotukuka. Mimi napenda pia wawe wakali na wafuatiliaji wa mambo pia.
mimi nadhani tunahitaji watu na sio mtu tu mwenye skill set(s) za kuongoza, bali pia walio wabunifu na wenye uchungu na wenye uadilifu uliotukuka. Mimi napenda pia wawe wakali na wafuatiliaji wa mambo pia.
Nadhani tatizo lililopo la sasa ni kubwa zaidi ya kiongozi, the all system stinks, kuanzia viongozi, watendaji, mpaka sisi wanajamii wenyewe, it seems hatuna uchungu na nchi yetu, na mbaya zaidi tumejijengea culture ya ajabu ya ufisadi na uvivu, kwahiyo tunawalea watoto wetu katika maadili ya ajabu ajabu, yaani sitaki kabisa kufikiria maadili ya wajukuu zetu kwa malezi haya ambayo tunawapa watoto wetu 🙁
hakika komredi ila sidhani kama ntaishi muda mrefu baada ya hapo maana ntakuwa mnoko sana na rasilimali za walipa kodi. Mambo ya ma-vx na sijui allowance zisizo na kichwa wala miguu yatakuwa nehi nehi. Tutahakikisha hakuna mwanetu hata mmoja anayesomea chini ya mbuyu au mgonjwa anayelala sakafuni huku mawaziri husika, kwa mfano, wakitanua kwenye ma vxKomredi ukipewa kacheo vp utaibadilisha khali ya miafrika ndivyo ilivyo?
tatizo sio kiongozi asiye na uchungu...
but mfumo tulionao, ma CEO hawako hata kwenye consideration ya watu....tatizo ni kiongozi mwenye skillz needed kwa kuongoza watu.......
tunahitaji Rais CEO anayejua kukusanya details na kusoma takwimu
sio hawa wanasiasa wanaojua kubwabwaja majukwaani.....
dadangu, hayo mabadiliko kama yapo basi ni kiduchu sana na hivyo kupelekea kuonekana kama hayapo.
nafikiri pia ni wrong kusubiri mabadiliko yaje na mtu mmoja
Kweli kabisa. Ila kwa mukhtadha huu, wale critical kwenye team ya uongozi hutegemea mtu mmoja!
so ndo maana katiba mpya inaweza kuwa na majibu zaidi kuliko rais ajaye..
hasa kama kutakuwa na mgawanyo wa madaraka mzuri..
magavana
wilayani
halmashauri
n.k...
Uko sahihi kabisa.Katiba ya sasa inatoa mwanya wa kuzembea uwajibikaji karibu katika kila muhimili wa dola.Chukulia mfano mahakama, pamoja na kuwa huru "independent" haimaanishi kutokufanya kadri ya matakwa ya wananchi. Haki itendeke na siyo izuiliwe.Jaji au hakimu hawezi kutokuandika hukumu au kuchelewesha kwa kisingizio cha "uhuru wa mahakama". Au Executive kuteua watu wasio competent just because wako ndani ya chama chake na considerations nyingine! Huenda kwa vile viongozi wanatokana na wabunge tena wa chama fulani basi hujikuta kafungwa na hali hiyo. I can imagine kama Katiba ingerehusu wagombea binafsi labda CEOs kutoka private sector wasiotaka siasa za vyama wangeweza kugombea ubunge na hatimaye kuweza kuchaguliwa kuwa mawaziri.Huenda tungeona maendeleo ya kasi zaidi kuliko sasa.
.
Nadhani tatizo lililopo la sasa ni kubwa zaidi ya kiongozi, the all system stinks, kuanzia viongozi, watendaji, mpaka sisi wanajamii wenyewe, it seems hatuna uchungu na nchi yetu,
Kweli kabisa VOR!
Tatizo ni systemic. Miaka ya nyuma watu walikuwa hawavutiki sana kutaka kufanya kazi serikalini kwa vile mishahara ilikuwa midogo na hata marupurupu hayakuwepo.Sasa hivi watu wanafanya kila mbinu kutaka ajira serikalini.Kwanini? Mfumo wa utendaji kwanza hauna mifumo ya kupima na kutathmini ufanisi ( not results based). Hata kama hufanyi kazi kwa kiwango hakuna consequences.Pia kumejengeka 'reward system' ambayo siyo formal lakini imeshakuwa a culture - posho za kila aina huvutia watu kuwemo humo.Nadhani hata ile OPRAS haifanyi kazi na kama inafanya basi ina walakini mkubwa sana.
🙁na mbaya zaidi tumejijengea culture ya ajabu ya ufisadi na uvivu, kwahiyo tunawalea watoto wetu katika maadili ya ajabu ajabu, yaani sitaki kabisa kufikiria maadili ya wajukuu zetu kwa malezi haya ambayo tunawapa watoto wetu
Hili ni jambo la kuogopesha sana ndugu yangu!!
ndo maana nikasema watu na nikasema wawe wabunifu (innovative & resourceful)mtu anaweza kuwa na uchungu na muadilifulakini hana uwezo wa kubadilisha hali iliyopowa nini huyo mtu...usisahau management na leadership kuna skills na talent pia......
Nadhani tatizo lililopo la sasa ni kubwa zaidi ya kiongozi, the all system stinks, kuanzia viongozi, watendaji, mpaka sisi wanajamii wenyewe, it seems hatuna uchungu na nchi yetu, na mbaya zaidi tumejijengea culture ya ajabu ya ufisadi na uvivu, kwahiyo tunawalea watoto wetu katika maadili ya ajabu ajabu, yaani sitaki kabisa kufikiria maadili ya wajukuu zetu kwa malezi haya ambayo tunawapa watoto wetu 🙁
mkuu generalization pia sio nzuri
mimi naamini hata ndani ya ccm wapo wenye uchungu na uadilifu
na hata ndani ya chadema kuna corrupt leaders...
tatizo ni mfumo unaotegemea zaidi mtu mmoja
tunahitaji mfumo ambao rais atawajibishwa na atapewa
guideline ya nini anatakiwa kufanya na nini haruhusiwi kufanya