mwenda wazimu
JF-Expert Member
- Feb 20, 2017
- 819
- 1,283
Ni mchumba official au mchumba wa barabarani!!Et jmn mfano upo katika relation na umepata shida ya gafla inahitaji kama laki kazaa hv...katika akiba yako umepeleza laki 1....unamshirikisha mpenz/mchumba wako ambae unajua kabisa uwezo wa kukupa anao ila anakushauri uuze cm au uuze kitu cha ndani ili upate hiyo hela...kweli kuna mapenz hapo?