Au yupo too demanding amemchoshaKuna mengi tusiyoyajua kukupa jibu sahihi.
Historia yenu juu ya kupeana zawadi ama fedha ikoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Madrid noma sana ktk makombe kama haya!Real Madrid 2 - Manchester united 1
Yule Casemiro atawika sana msimu huuReal Madrid 2 - Manchester united 1
Hivi kocha msaidizi wa Zidane ni nani?Real Madrid 2 - Manchester united 1
Bora hata akukimbie... Unamgharamia afu hela uliyompa anaenda kumpa kidume chake...UNGEKUWA MKE WAKE SAWA HAPO JAMAA ANGEKUPA HIYO HELA ILA KWAKUWA NI WAPENZI NGUMU SANA KUPEWA KIASI HICHO WANAUME TUMESHASHTUKA YAANI TUWAGHARAMIE HALAFU BAADAYE MTUKIMBIE HAKIKA HATUWEZI FANYA UJINGA HUO,MIE MPENZI KUMPA HELA MWISHO ELFU KUMI TU OTHERWISE NIWE NIMEMUOA NDO ATAFAIDI HELA YANGU
Ha Ha Ha Kumbe Wakichuna Kwingne Wanakuwa Wahongaji NaoBora hata akukimbie... Unamgharamia afu hela uliyompa anaenda kumpa kidume chake...
Tena anamwambia "yule fala kanipa"
Yule kiboko hatari sana, kwa kifupi Madrid wana midfield nzuri
Waogope sana hawa magelifrendi... hawana maana kabisaHa Ha Ha Kumbe Wakichuna Kwingne Wanakuwa Wahongaji Nao
Et jmn mfano upo katika relation na umepata shida ya gafla inahitaji kama laki kazaa hv...katika akiba yako umepeleza laki 1....unamshirikisha mpenz/mchumba wako ambae unajua kabisa uwezo wa kukupa anao ila anakushauri uuze cm au uuze kitu cha ndani ili upate hiyo hela...kweli kuna mapenz hapo?
Sasa wewe mwanamke una simu ya laki 4 halafu unaniomba laki 1 wakati unazo mkononi huo ni uzuzu sikupi hata kwa dawaEt jmn mfano upo katika relation na umepata shida ya gafla inahitaji kama laki kazaa hv...katika akiba yako umepeleza laki 1....unamshirikisha mpenz/mchumba wako ambae unajua kabisa uwezo wa kukupa anao ila anakushauri uuze cm au uuze kitu cha ndani ili upate hiyo hela...kweli kuna mapenz hapo?
Wajinga Wajinga Ndio Waliwao Bora Hela Unywee Pombe Tu Itakuwa Haikuumi Kuliko Kumpa Girlfriend Ambaye Muda Wowote AnakukimbiaWaogope sana hawa magelifrendi... hawana maana kabisa