Njooni tuangalie TV

Njooni tuangalie TV

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
1150414_375227489286066_2137783415446743997_n.jpg
 
Hahahahaha hapo ndo anasoma taarifa ya habari au?
 
Hahahaaaaaaaa utafikiri anachimba dawa kubwa...
 
Chini angeweka Kizuwio ili miguu isionekane hata wakubwa wangekuwepo..............
 
Chini angeweka Kizuwio ili miguu isionekane hata wakubwa wangekuwepo..............
pambafu, umenifanya nicheke mbele za watu kwa kishindo bila kujizua mpaka wakaniona chizi, Asante kwa kunianzishia kicheko cha kwanza kwa siku yaleo ya jumatatu ya siku ya pili ya wiki( kwa kuwa jana ilikuwa jumatatu ya mwisho wa wiki long weekend)
 
Na madogo wametulia kweli kweli, na imagine wakati wa kuangalia movie au tamthiliya itakuwaje?
 
Huyu akiendelezwa anaweza kuja kuwa Charles Hillary au Salim Kikeke wa kizazi kijacho....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom