Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,610
- 6,770
Waalikwa hawaingizi helaHapo wamesamehewa waalikwa tuπππ
Nchi ngumu hii dadeki
Single itakua 200k na double itakua 700k...
Daah nimecheka sana..waweke nayo pande za Tukio...Hapo wamesamehewa waalikwa tuπππ
Nchi ngumu hii dadeki
Oh! Very cheap. Kwa sasa sisi wa huku tutazingatia Sherehe zetu zifanyike maporini chini ya migunga -kuna hewa safi na gharama yetu itakuwa ni umeme wa generator,ndafu tunazo za kutosha kutoka hapo zizini. Hatutahitaji kibali na mapambo ni hiyo miti ya asili na video tutatumia simu zetu, mziki tutaelewana na wale wacheza ngoma ya mdundiko au wale jamaa wa bughoboghobo homa ya jiji. Kwisha.Kukodi ukumbi ni 3,000,000
Mziki na mc ni 300,000
Chakula plate 8000Γ600-
Ndafu/keki 600,000
Mapambo 500,000
Kibali 30,000
Mpiga picha video 900,000
#TAFAKARI.
Kodi kwa maendeleo ya taifa lako lipa tozoDuwh TRA wanakaz gan sasa hii dharau ishakua