Njooni mnipe Muongozo wa kulea mapacha

Kama hawashibi wapeni PIA maziwa ya unga. Uliza ndugu na marafiki walio na watoto wakushauri yapo waliyapenda.
 
Ndugu watoto wadogo kulia ni kawaida usitetereke ukawapa maziwa tofauti na ya mama chini ya miezi 6,utakuwa umeharibu msingi wa afya na akili kwa watoto.
 
Asante ila kupumzika hapo hatari maana anakesha kunyonyeshatu.

Hapati muda wa kupumzika
Pole sana
Watoto wanapolala naye ajitahidi kulala, vinginevyo atakuwa anachoka sana hali itayompelekea kushindwa kula vizuri na kunyonyesha watoto.
Pia apate mtu wa kumsaidia kwani watoto wanapolia inaleta sana mawazo hasa wakiwa wanalia kwa pamoja.
Ikiwezekana wapatiwe maziwa mbadala ili wawezw kushiba.
 
Ndugu watoto wadogo kulia ni kawaida usitetereke ukawapa maziwa tofauti na ya mama chini ya miezi 6,utakuwa umeharibu msingi wa afya na akili kwa watoto.
Ni kweli haishauriwi lakini kumbuka huyu ananyonyesha watoto mapacha
 
Asante sana Lactogen naona ndo yanafaa.
 
Naona watu wanaongelea Lactogen kwa sasa wengi wao
 
Ukitafuta mtuambie
Pia....
 
Asante sana Mkuu kwa ushauri
 
Asante sana mkuu
 
Kama mama hapati muda wa kupumzika inaweza kuwa changamoto pia yeye kupata maziwa ya kutosha


Jitahidi ale vyakula vyenye afya(balanced diet)

Mwenye uzito pungufu zungumza na nurse anaweza kukushauri zaidi
Bado Hawajaanza clinics
 
🤣 🤣 🤣 Kamanda
 
Bado Hawajaanza clinics

Kuzungumza na nurse siyo lazima kuanza
clinic

Kuna nurse aliekua anamhudumia kipindi cha ujauzito au kujifungua huwa tunatunza namba zao incase kuna jambo haulielew kwa mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…