Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,022
Wana wiki 3Wachapwe viboko
Sawa ushauri mzurimtafute mtu anayeweza kumsaidia kulea hapo nyumbani ndugu wa karibu na kumlipa.
We mpare wewe acha utani unafikiri huyo ni Mchaga kindu ni mthombe na thii ipereWachapwe viboko
Asante sana Mama kwa ushauri huu mzuriHawashibi.
Ushauri wa doctor ili wapewe maziwa mengine pia...
Asante ila kupumzika hapo hatari maana anakesha kunyonyeshatu.Hongera sana mkuu
kadri wanavyokua watapunguza kulia na kuuma kwa maziwa inatakiwa ajitahidi kuwaweka vizuri kwenye chuchu na muwe mnamkanda kwa majimoto kuanzia mabegani mpaka kwenye maziwa hiyo hali itapungua....
Asante ila kupumzika hapo hatari maana anakesha kunyonyeshatu.
Hapati muda wa kupumzika
Hivi kuna uhusiano gani kati ya kudate na mtu na kuhudumia watoto wachanga? Na nini madhara yake??Hawashibi.
Ushauri wa doctor ili wapewe maziwa mengine pia....
Hapo n dhahiri maziwa hayawatoshi so hawashibi mkuu.Mke wangu amejifungua waoto mapacha kwa sasa wana wiki 3.
Changamoto anayopitia ni.
1..watoto kulia sana na kutolala hasa wakati wa usiku kuanzia saa 7 hadi saa 11 ndo kuna kuwa na unafuu...
Nilipata ushauri wa daktari enzi hizo wanazaliwa, kuwanywesha maziwa yanaitwa MARA MILK (Kiwanda kilikuwa Musoma, SIJUI KAMA BADO KIPO, MAANA NI KITAMBO KIDOGO, zaidi ya miaka 13 iliyopita) kama sijakosea. Yapo kwenye kiboksi. Kwa maelezo ya daktari, yale yana content zifaazo kwa mtotoHawashibi.
Ushauri wa doctor ili wapewe maziwa mengine pia....
Uji tu, wana njaaHawashibi ni njaa hiyo,
Mama ale sana maziwa yatoke mengi tena mazito la sivyo uji utawahusu
Changamoto za kawaida Kila mtoto hulia.Mke wangu amejifungua waoto mapacha kwa sasa wana wiki 3.
Changamoto anayopitia ni...