Njooni huku Boko Mnemela viwanja vya bure

Kama haya makampuni y kiswahili ya kuuza viwanja lipa kidogo kidogo ya mfano w kina boss nani hesabu maamivu mswahili hana uchungu na pesa ya mtu
 
Wadau hamjambo?

Nimehamia huku panaitwa Zumba mabanzini mkoa wa Pwani, kwa ufupi unapo toka Dar panda magari pale Mbezi yanayokwenda Boko Mnemela ukifika Boko Mnemela kodi boda boda elfu 6 mpaka huku Mabanzini.

LIFE YA HUKU
Huku wamang'ati bado wapo wamezuia maeneo, yaani nilichofanya nimemuhamisha mmang'ati kwa laki 8 eneo la heka 9

Bado bushi sema kanisa katoliki wamekuja juzi nao wanajenga hostel za masister na ndio wanafanya harakati za kuweka umeme.

Life ya huku ni ya ki nzuri maeneo mengi ni msitu na serikali imeweka bango ukisafusha eneo ndio lako nyumba ni chache ila vibanda vya wamang'ati na mashamba ya mahindi tu ndio mengi.

Yaani kwamimi niliekulia tarangire hapa nnahisi kama nipo home aisee ni kuzuri tambarare yake usipime huku watu wengi wafugaji, kuku, nguruwe, mbuzi, kilimo cha karanga, matikiti, mahindi, pilipili mwendo kasi, maziwa ya ng'ombe kwa wingi naona watu hawaja pastukia this gift land.

Karibuni sana
Mabanzini, Zumba
Vp huko kuna update yoyote
 
Safi mwana JF, kuna
Masaki mbele ya Chanika nilikuta watu wamekaa wametulia wanagonga gongo fresh tu na wavuta bangi wako kivyao.
Ila jamaa walikua wametulia wanakula bata zao kimya kimyakimya tu.
Wenyewe wako poooa dah,
Nilipenda ile life,nikala Supu walinunua na chapati yule maza kanipa bure
Mwisho nshashiba nikawazungushia round 2 wakabaki huyu nani?
Mi huyo site.
Kuna kanisa,maji, umeme bwelele huko ,lami ipo usafiri wote upo.
Kuna waswede na wachina mitaa hiyo wana NGO zao wanapiga kazi
 
Shingapi huko maeneo
 
Back
Top Bottom