Njoo uufahamu mji wa Ninawi alipotumwa nabii YONA

sasa mbona umeongea nilichosema
 
Samahani,hii 70 na 79 AD or BC?ni 1800 au 1700au 1900....kukatisha miaka kwenye habari ya history kunaleta mkanganyiko kidogo
 
Tatizo Nyie mnaosema Tarshish ilikuwa huko hamuweki fact, Ezekiel Ni kubwa... Ezekiel ngapi?angalau mleta mada Kuna mistari anakazia inaleta mwanga
 
Andiko zuri.

Kuhusu kuwaombea hao jamaa naona kama itakuwa ni kwenda kinyume na maandiko, huo mji ulishatabiriwa utapotea na hautarudi tena, na kilichokuja kutokea ndio hicho.

Hata hivyo vizazi vichache vilivyobaki navyo vinaendelea kuishi kwa mahangaiko (kufukuzwa) hii yote ni sababu ya muendelezo wa utabiri uliotolewa na Nahum, ni kama wanaadhibiwa kwa kuachiwa shetani awafundishe adabu.
 
umenena kweli huo mji haukaliki sawasawa na neno la BWANA
 
Achaneni na Ngano za Mashariki ya Kati katika kuua Utamaduni na Historia ya Mkush.
Abraham alikimbilia Misiri kujificha na njaaa, pia Ukoo wa yakobo ulikimbilia misiri kwa ajiri ya njaaa, Yesu alikimbilia Misiri kwa ajiri ya usalama wake. Mkushi hakwepeki kwa Kuepusha njaaa na Amani kwa ngano za zamani. Lakini Sasa mkushi ndiyo bara la njaaa na uvunjifu wa Amani.
 
story hizo... volcano mji wote kufunikwa...

ashura mara iraq mara syria... historia za kubahatisha hizi...

leo ukiambiwa historia halisi ya UK au Misri una weza tahamaki...

kuna siri kubwa sana imefichwa na wachache wakitumia umbumbu wa wengi kunufaika...
 
History ya dunia inajurikana toka 4.5billion year ago. Leo hii unashangaa story za miaka 4000-2000 years ago???.
Ninakushangaa kushangaaa.
 
nina kushangaa hakuna unacho kijua.... pole mkuu... nyie ndio mmetokana na adam na hawa ambao ni wazungu walio semekana kuishi huko eden? ndio wewe uzao wa adam una shangaa?
Umetoa wapi maneno ya kwamba Adamu ni mzungu???. Ndiyo shida yako inaanzia hapo. Ujuaji wa kwenye vijiwe vya kahawa.
Isome vizuri geological history.
 
Safi sana naona tunaenda Hoja kwa Hoja.
Lets Goo
 
nina kushangaa hakuna unacho kijua.... pole mkuu... nyie ndio mmetokana na adam na hawa ambao ni wazungu walio semekana kuishi huko eden? ndio wewe uzao wa adam una shangaa?
Ukiwa CCM unakuwa m'bishi wa kipuuzi sana!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…