KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,649
- 6,088
Kwa usalama nitaenda mwenyeweee....
Ha ha ha ha haaaa, kweli mwaya wasije wakakuvua sarawili kweupeeeee
Kwa usalama nitaenda mwenyeweee....
Ha ha ha ha haaaa, kweli mwaya wasije wakakuvua sarawili kweupeeeee
Naam...la sivyo tuimarishe ulinzi
Hilo la msingi sana.....ila sasa punguza kidoogooo
Kwanini nipunguze.....nipe sababu kuntu
When you have many...uhuru wa nafsi unapotea, na unakuwa mtumwa kila siku, na wasiwaai pia
Mkuu naona kama mafaili yamepandana! Embu soma tena!
Nafsi ina amani tele cheupe dawa....
Basi enjoy your self.....you have plenty of time mwayego
Asante sana my dear... Tumefurahi sana sana....
now you are talking....
Naona huna usingizi kama mimi, njoo tucheze draft basi.
unamaanisha 'draft'.....
Ndiyo draft jamaniii, nimeshapanga kete tayari...
Tukianza draft muda huu tutakesha....au tukubaliane nikikufunga mara 3 tulale....