Njoo uniunganishie dot tafadhali

Misa ilikuwa ndefu sana. Nilichoka nikasepa.
Kwani padre alisemaje?

Alinichagua mim kuwa mpokea sadaka, kwa hyo waumin wote mnatakiwa mnitumia kiasi cha dola 100 kwa wiki, kwaajili yakuwaombea
 
Alinichagua mim kuwa mpokea sadaka, kwa hyo waumin wote mnatakiwa mnitumia kiasi cha dola 100 kwa wiki, kwaajili yakuwaombea

Hayo maombi siyahitaji.
Hiyo hela nitaitumia mapumzikoni zanzibar.
Jiombee kwanza wewe.
 
Mkuu hivi wachawi na wanga ni watu wa aina mbili tofauti? Na kama jibu ni ndiyo, tofauti yao ni ipi?
 
Mkuu hivi wachawi na wanga ni watu wa aina mbili tofauti? Na kama jibu ni ndiyo, tofauti yao ni ipi?

Mchawi anakudhuru mwanga anakusababishia usumbufu na sometimes woga ila hadhuru
 
Sikumaanisha wewe mkuu, ni mtu wa karibu aliyefanya timing tu, na alivyosikia ameenda kwa mganga akarudisha kwa kuogopa. au hakuna wengine hapo jirani?

Nin mim tu, hata hvyo mwizi kaja kumbe walikuwa wanadaiana, walikopeshana madera ya CCM wametoleana uvivu kimeeleweka.
 
Aaah kumbe hujui kuna waganga feki na waganga orijinal ole wako ukutane nae original utakuwa mshirikina daima hapo nivitisho tu mwizi amekumbana nazo za kishirikina akairudisha mwenyewe.
Walmushirkina finari Jehana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…