Njoo ujue urembo asilia na Arabian Queen

Arabic Queen huo mchanganyiko wa asali, mdalasini na ukwaju unafaa hata kwa mwanaume mwenye sura ngumu angalau kuwa na kijimvuto? au wenywe mapele ya ndevu?
Fanya water therapy mkuu,Kuna kipindi niliwahi kuijaribu,asubuh unapata glass 3 za maji ya uvuguvugu then naenda mazoezini [8km] nikirudi nakunywa lita 2 na jioni nikienda mazoezi nikirudi lita 2 tena,baada ya mwezi nilikuwa na ngozi soft sana isiyo na chunusi. Nakumbuka kina dada chuoni walikuwa wananiuliza hivi wee dilekeni unatumia lotion/mafuta gani
 
mkuu je hiuo mchangnyiko nikijpka halfu ukibaki naweza ihifadhi vipi kw matumizi ya kesho?
Hauharibiki weka sehem yyt upendayo ktk kijikopo kisafi,mm natumiaa kila siku lkn sihis muwasho wala maumiv yyt
 
Fanya water therapy mkuu,Kuna kipindi niliwahi kuijaribu,asubuh unapata glass 3 za maji ya uvuguvugu then naenda mazoezini [8km] nikirudi nakunywa lita 2 na jioni nikienda mazoezi nikirudi lita 2 tena,baada ya mwezi nilikuwa na ngozi soft sana isiyo na chunusi. Nakumbuka kina dada chuoni walikuwa wananiuliza hivi wee dilekeni unatumia lotion/mafuta gani
Yah mm pia haipiti siku bila ya mazoez nayo inachangia kuweka ngozi bomba
 
Maazoezi ni muhim tena sana,na hivi vyakula vyetu havina mpangilio mzuri,mazoezi ni jambo la kupewa kipaumbele ktk ratiba za maisha yetu
Yani mm siku ikipita sijafanya mazoez najilaumu najiona kama naumwa flani,am addicted ktk mazoez hasa flexible exercise
 
Hauharibiki weka sehem yyt upendayo ktk kijikopo kisafi,mm natumiaa kila siku lkn sihis muwasho wala maumiv yyt
Mkuu Mimi natka nitbu chunusi usoni nikipaka mida y usiku nikae nayo muda gani dakka ngapi uson au mpka asubuh itakuwa sawa
 
Back
Top Bottom