Njoo ujifunze machache kuhusu Radi

Njoo ujifunze machache kuhusu Radi

makini
Dah...
Dalili 6 ambazo ukizisikia ujue utapigwa na radi
1. Kuhisi nywele zinakusimama
2. Ngozi kusisimka
3. Kusikia ladha ya uchachu mkali kinywani
4. Jasho kutoka viganjani
5. Harufu ya gesi ya klorini
6. Mitetemeko ya vitu vya metali vilivyo karibu yako.

Ukihisi moja wapo kati ya hizo usizipuuze. ...utakuwa umebaki na sekunde 5 kabla hujapigwa na radi. Kimbia mbio ingia ndani ya jengo au gari kuokoa maisha yako[emoji2960]
atarii sana kwa sekunde tan utaweza kukwepa kweli radi…….?
 
Brother, umejitahidi kueleza kuhusu Radi. Lakini ujue kuwa kuna aina mbili za Radi.
1.Radi inayotokana na umeme unaotengenezwa na mawingu ya mvua. Hii ni Radi ya kawaida.
2. Radi ya kutengeneza.
Brother, nakusihi sana usijaribu kuwahakikishia wasomaji wako kuwa kuvaa nguo nyekundu hakuhusiani kupigwa na Radi.
Vile vile, fahamu kuwa maongezi ya simu wakati wa mvua ni hatari ya uhakika kwa sababu, wakati unaongea na simu, ujue kuwa Signal unayopata, imeungwa na mara wa simu. Radi itakapokuwa inasafiri Horizontally au Vertically, itafuata route ya signal kutoka kwenye mnara hadi kwenye simu yako. Zima simu yako wakati wa mvua.
Hata mimi nilikuwa naamini kuwa Radi ni umeme wa mvua tu. miaka nilipoambiwa na mzee mmoja kuwa kama nabisha nimruhusu anitumie Radi. Nilimsihi asifike huko kwani yalikuwa ni maongezi tu.
Brother, Radi hasa ni mnyama kama vile jogoo Lakini ni mdogo, kwa umbo, Lakini ni kajogoo na tena kana mkia badala ya kisute kama kuku walivyo. Mfano mzuri , angalia nembo ya Timu ya Liverpool yule myama ndiye Radi mwenyewe.
Hata Wazungu waliokupa elimu juu ya mawingu wanatambua kuwa Radi ni mnyama.
Kwa kabila la Wasukuma, wapo waganga wa kuita mvua wanaitwa wagemi au "Ngemi wa mbula".
Vifaa wanavyotumia kitia mvua ni hivi hapa:--1.Chungu kidogo kilichoiva sana wakati wa kuchomwa (chekundu).2.Wembe, 3.Mjusi mwenye rangi nyekundu na bluu, aliyekaushwa, 4.Kinyonga aliyekaushwa 5.Bangili ya shaba, au kipande cha waya ya shaba.6.kipande cha mti uliopigwa Radi.
Akichanganya vitu hivi ndani ya chungu, na kutoa manuizio, au " Incantions", ndani ya chungu kunatokea mwanga midogo midogo kama ya Radi .
Radi ni ngege mwenye mkia , na Radi inaweza kutumwa kwenda kuangamiza Mtu aliyekusudiwa na mtumaji.
Brother, Jaribu kutembelea Usukumani uulize utapata majibu kama haya.
Mara nyingine, Radi huonekana kama tufe mfano wa mpira wa miguu unon'gara na kuzunguka ukitoa cheche.
Vile vile Radi inapopiga Mti, Mtu huonekana kuwa umekwanguliwa kama vile umekatwa na kishoka.
Kalaga bahho.
somo zuri swali langu kwako kuna siri gani iliyofichwa kwenye bangili ya Shaba au kipande cha Shaba coz nimeona wengi wakizi vaa sanasan wazeee…..?
 
Kuna sehemu panaitwa catatumbo huko venezuela ambapo radi na ngurumo hazijawahi kusimama tokea kuumbwa KWA ulimwengu, na pia Kuna maeneo hapa tanzania Kama tabora ambapo radi huwa inadondoka Sana na kusababisha madhara hii kitaalamu inakuaje?
 
Kuna sehemu panaitwa catatumbo huko venezuela ambapo radi na ngurumo hazijawahi kusimama tokea kuumbwa KWA ulimwengu, na pia Kuna maeneo hapa tanzania Kama tabora ambapo radi huwa inadondoka Sana na kusababisha madhara hii kitaalamu inakuaje?
Sehemu zenye madini fulani kwenye ardhi yako prone kwa radi zaidi kuliko maeneo yasiyo na madini fulani.

Radi zipo intense kigoma kuliko Dar au Dodoma na justification niliyosikia ni hiyo. Madini yanakua conductor kwa umeme wa radi hivyo yanatengeneza mvutano.
DRC inaongoza kwa mvua za radi sababu kuna misitu mizito hivyo probability ya mvua kunyesha ni kila cku hence probability ya uwepo wa radi. Madini pia yanavutia radi sana DRC.
 
Mkuu umenikumbusha mwaka fulani nikiwa Ndanda Sec School,radi ilipiga tukiwa mabwenini wote tukakimbilia nje.
Tukiwa pale nje ikapiga nyingine wote tukakimbilia ndani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sie ilipiga moja matata jioni skuli watu walianguka kwenye madeka hatari ila ilitandika mtu mkubwa nje balaa lake Hadi mabwenini tuliipata
 
Cjakuelewa hapo mkuu epuka kusimama sehemu ya wazi isiyo na miti. Na epuka kusimama chini ya mti wakati wa mvua kunyesha. Maana yake kwenye miti hiyo hiyo kuna hatari na pia kuna usalama ktk kuzuia radi?. Cjaelewa hapo ufafanuzi please!
 
Kipindi cha radi ndo huwa namgegeda vizuri wife maana ni mwoga so hapo nakumbatia ananikamata kwa nguvu namtanua miguu naanza kumpiga mashine. Anakuwa hana namna hawezi nikatalia na ule woga na raha basi anakojoa mpaka anatetemeka huku akinikumbatia na kulia kwa sauti kubwa
 
Sehemu zenye madini fulani kwenye ardhi yako prone kwa radi zaidi kuliko maeneo yasiyo na madini fulani.

Radi zipo intense kigoma kuliko Dar au Dodoma na justification niliyosikia ni hiyo. Madini yanakua conductor kwa umeme wa radi hivyo yanatengeneza mvutano.
DRC inaongoza kwa mvua za radi sababu kuna misitu mizito hivyo probability ya mvua kunyesha ni kila cku hence probability ya uwepo wa radi. Madini pia yanavutia radi sana DRC.
Madini gani hayo?
 
Mimi imewahi nikosa kosa kunimaliza,nilikuwa napita sehemu wakati mvua inanyesha sasa ilipiga mbele yangu kidogo km mita 1 hivi nikaanguka but nikaamka sikudhurika ila sehemu ilipopiga maji yalikaushwa na kutawanywa then yakarudi, hatari sana
atariii sana mshukuru alie juu saivi ingekuwa ni story nyingine,,,
 
Aisee, wiki iliyopita kuna mtu kafa, hifadhi ya kitulo.( Ile hifandi ina majani mafupi sehemu kubwa, ) ilipoanza mvua akasimama chini ya mti, pale pale akapitiwa na radi. tumezika.
 
Back
Top Bottom