Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
Mi sioni cha ajabu hapo,kwani hata yesu alisema fuateni maneno yangu na si matendo yangu.
Basi njoo huku usilimishwe..Mbona kofia kavaa kihuni, mhuni huyo anatafuta K za ulaini bila jasho la fedha
Mimi naomba nifuate matendo, maneno yako nakuachia mwenyewe.Mi sioni cha ajabu hapo,kwani hata yesu alisema fuateni maneno yangu na si matendo yangu.
Sio kurap kweli?
haya maombi mkuu ila sijui ni kwa jina la nani...maana hii dunia nayo imekua na mungu wengi sanaSio kurap kweli?
Waigizaji Wa filamu Za kikwetu hawajui kuranda mavazi Na ushiriki wao,*utamkuta Mtu anaigiza Kama Ustaadhi lakini ukiangalia chini kavaa suruali ndefu ya heshima Na viatu aka mokasi , tena Za bei badala ya kuvaa suruali iliyokatwa Na kandambili Za waya..!!!

Enyi mafarisayo na masadukayo wanafiki ..mbona mnapenda kuhukumu..Bwana anaangalia mioyo na wanadamu wanaangalia sura....Unaweza kuta huyo ndo mtakatifu kuliko yule aliyevaa suti...
Kweli tumefika Mbali, hiyo kofia ya Mwombeaji, mimi hoi. Mimi nitajiombea mwenyewe, nafikri Mungu anasikia kila mtu.
Watakabahu
Kwanini hamuendi Muhimbili kuwaombea wagonjwa wapone.
Enyi mafarisayo na masadukayo wanafiki ..mbona mnapenda kuhukumu..Bwana anaangalia mioyo na wanadamu wanaangalia sura....Unaweza kuta huyo ndo mtakatifu kuliko yule aliyevaa suti...
Huyu ni msanii mpya wa fleva au? Anaimba nini, naomba mnitafsirie jamani.