We MBITIYAZA acha hizo bana yaani vijana tupo wewe unafuata wahenga.!!??
Na wewe tukikuomba vingine vitamu ulivyonavyo usitunyime
Nipe hiyo dawa aiseeh, mbona unanifanyia hivyo?hhahahhahahhahahaahhhhhhhhhhhhhahhhhhhhhhhhahhaah ! watu mnapenda kuchodha !ndio nilipata mwaya !ni yale yale mavi ya kuku !mie ney siku nikikuona nakuwekea hahahahahahahhaahhahahhahahhhah
Embu msisitize mbiti, maana mie naona ananichanganyia habari, sijui anafurahia pampula wangu kutembelea ukuta hapo sijamuelewa kwakweliNey anataka kwa ajili ya pampula wake. Hataki asimame dede tena
Nipe hiyo dawa aiseeh, mbona unanifanyia hivyo?
Yaan leo mie ndio nimegeuka kuwa pampula kweli mbiti sio vizuri ujue
Mie siumwi mbiti nipatie dawa ya shemeji yakohahaahah mwambie ajitibu mwenyew kwanza hahahahhhahahahaah
Hahaha mimi katoto kama wewehahaha nan anataka presha mkuu ! akuu unatulia na mhenga ushindwe wewe hahaha namtania tu elli bwana hata simfaham !lakini atakuwa mkaka wa wadhifa na hadhi yake !sio km kadagala1 ..na kweli wewe kadagaa lol
Embu msisitize mbiti, maana mie naona ananichanganyia habari, sijui anafurahia pampula wangu kutembelea ukuta hapo sijamuelewa kwakweli
Mpendane jamani na mkimaliza mnipatie kichupahahaha uchoyo kiaje !yaan nipewe mie unataka nishee na Heaven Sent ? weeeeeeeeee!kila ntu atakula kwa JASHO LAKE
Mie siumwi mbiti nipatie dawa ya shemeji yako
Embu fanya kumuulizaKwani Ney naye ni pampula?
Embu fanya kumuuliza
Meonaaaaaaaahahahhah hapana sikupi wewe jana uliniua jaman kwa kucheka !hahaha sikupi !had nikuone tuweke wote hahaaha ! tuache mazimaaaa !ila demi nae awekewe aiseehahaha maana sio kwa kunyonya huko !ila mie sna haja ya kuweka si viwine tu jaman !teh teh Heaven Sent umeonaaaa????
Embu fanya kumuuliza
Hiyo dawa yenu siitaki hata bure. Siumwi miehahahhah hapana sikupi wewe jana uliniua jaman kwa kucheka !hahaha sikupi !had nikuone tuweke wote hahaaha ! tuache mazimaaaa !ila demi nae awekewe aiseehahaha maana sio kwa kunyonya huko !ila mie sna haja ya kuweka si viwine tu jaman !teh teh Heaven Sent umeonaaaa????
Ha haaa niwepo karibuhahahahahah ! mie navuta kasi tu hapa sept najilipuaaa paaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhh!
Hiyo dawa yenu siitaki hata bure. Siumwi mie