UMBO NAMBA NANE.
Linachanganya umbo lake nikimpata simwachi,
linanfanya nimfate akinimwaga itantach aaa!
Aaa anavutiaaa!
Linachanganya umbo lake nikimpata simwachi,
linanfanya nimfate akinimwaga itantach aaa!
Uuuutafurahiaa!
Ni umbo namba nane ananichanganya, kutoka moyoni nasema nampenda sana, au apige hilo gitaa majani kama santani ili na mimi nimulinde mama.
Ni umbo namba nane ananichanganya, kutoka moyoni nasema nampenda sana, hebu piga hilo gitaa majani kama santana ili namimi nimulinde mama.
Nimekaa chini mtu mzima nikafikiria,
warembo wengi sana kwenye hii dunia,
ni umbo namba nane kichwani aka nijia,
Toka moyoni sina budi kumsifia,
Mwenye sura matata,
macho yanayoitaaa,
Hana utata huyu binti wa kiafrika,
Utamcheki alivoumbika na mbele katamajikaa,
Akitembea bado anatingisha.
Pendeza kimavazi hata akiweka poz,
Mtoto anaweka akifikia hadi kwenye njooz,
Sijui ni seme akae au niseme asimame ,
Ni umbo namba nane watu wote mumuone.
Ni umbo namba nane ananichanganya, kutoka moyoni nasema nampenda sana, au apige hilo gitaa majani kama santana ili nami nimulinde mama.
Ni umbo namba nane ananichanganya, kutoka moyoni nasema nampenda sana, hebu piga hilo gitaa majani zaidi ya santana ili namimi nimulinde mama.
Ananiuliza kama Nina dem namwambia sina.
Anahisi alishaniona sehem tatizo kansahau jina.
"Unaitwa nan FID Q, unaishi wapi GHETO, Kazi yako nini MZIKI" ausio
Mdomo unakuwa mzito niongee kipi cha maana.
Kivipi nimkazie jicho wakati bint kasimama.
Au nijikombee maujiko fid sitaki kujuana.
Rangi asinizingue kiivo mie simwachi kimwana..
Anaonesha hana malingo, lakin ashawahi kupima.
Alishanzimikia kimtindo mchizi kipingamizi sina.
Yuko shkopa niko shalo tina tina.
yuko full hoi kama wasemavyo watu wazima.
Ni umbo namba nane ananichanganya. kutoka moyoni nasema nampenda sana. au apige hilo gitaa majani kama santani ili nami nimulinde mama.
Ni umbo namba nane ananichanganya.
kutoka moyoni nasema nampenda sana.
hebu piga hilo gitaa majani zaidi ya santana ili namimi nimulinde mama.
Yeye anapokaa Mimi napajua.
Najua kumfuata wala haitanisumbua.
Kama ananipenda kweli nami nmpenda pia.
Ndo maana mpaka sasa bado namuimbia.
Ni umbo namba nane ananinchanganya.
Hebu piga hilo gitaa majani zaidi ya santana.
Na nikiwa nae watu watababaika.
Na macho kuona wakimuona watamfuata.
Nikawa nasifa zote.
popote alipo utataka we uende umfate.
Umvishe pete yeye.
Ni umbo namba nane ananichanganya. kutoka moyoni nasema nampenda sana. au apige hilo gitaa majani kama santani ili nami nimulinde mama.
Ni umbo namba nane ananichanganya.
kutoka moyoni nasema nampenda sana.
hebu piga hilo gitaa majani zaidi ya santana ili namimi nimulinde mama.
Aaaaa! Aaaaaaa! Mpenzi wangu.
Aaaaa! Aaaaaaa! Mpenzi wangu.
Aaaaa! Aaaaaaa! Mpenzi wangu.
Aaaaa! Aaaaaaa! Mpenzi wangu.
Sent using
Jamii Forums mobile app