Njoo tushuke mistari ya za kitambo

Njoo tushuke mistari ya za kitambo

Ambition plus

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2018
Posts
6,403
Reaction score
12,019
Vipi mchizi wangu nakuona umesizi, unaonekana kama moyoni una majonzi, au dili zako leo haziendi sawa? jinsi unaonekana kama moyoni umepagawa! niambie ili nielewe, ili na mie nisipagawe, kwani tangu nimefika nakuona umepooza, ebu niambie kitu gani unachowaza, sema basi au kuna kitu nimekugasi ,niambie basi au kuna mtu amekugasi......
 
Siku mapigo yangu ya moyo mwisho yatapogota
mwili utazima mfano wa nyota inapodondoka
staweza kuamka tena macho yangu yatapofumba
safari imewadia naenda kwa baba muumba

masela nawaachia wosia
waambie ndugu na jamaa wapunguze kulia
sote tutakwenda bali me natangulia
 
Taswira yangu ulipoanza kosa ,mwangaza na afya ikaanza dhoofika kwa ajili ya kuwaza, hata muda mrefu haukuchukua, nikazidi changanyikiwa pale nilipogundua, nilipogundua kwamba laazz wangu uwaridi la maisha ,amebeba mimba ktk mazingira yaliyonitatanisha ,nilibaki kama kinda niliyekosa wazazi, nikashindwa kula wala kupata usingizi, nikawa nakesha kusubiri manani anipe muelekeo ,huku nikivuta subira kusubiri matokeo....
 
Siku mapigo yangu ya moyo mwisho yatapogota
mwili utazima mfano wa nyota inapodondoka
staweza kuamka tena macho yangu yatapofumba
safari imewadia naenda kwa baba muumba

masela nawaachia wosia
waambie ndugu na jamaa wapunguze kulia
sote tutakwenda bali me natangulia
Sote tutakwenda bali mimi nitangulia
Duniani sio makazi yangu tena
Niombieni kwa Mola nilazwe peponi pema



"Not everything is for everybody"
 
Aaah we,bora acha tu wangu mkachaaa ,story ndefu nikianza kukupaa, ubongo wangu nahisi unasafirika,
Kwa haya matatizo makubwa yaliyonifika,
Shemeji yako nadhani unamjua?
Ambaye kichwa changu alikichenguaa?,
Baada ya kuishi muda mrefu na wangu laazizi,Ikabidi niende kuwataarifu wazaziiii,
Kwamba nishampata mwenzanguuu
Ambae tutafunga nae pingu za maisha,
Huku tukiwa na hakika hakuna baya la kututenganishaa......
Basi baada ya kurudi yangu safariii,
nakuta geto kumepigwa kufuri,
Nauliza watu wote sipati jibuu
Ni mkasa mkubwa ulionisibuu.
Nikaanza kulisaka tunda langu kwa Sana,
Lakini jitihada mwisho zikashindikana
Nikaamua tu kutulizana
Nikawa sitoki nje nipo ndani tu nalalaa
Huku mawazo kichwani yamenitawalaa
 
Subiri basi stori nikumaliee,
enhee?
Mkasa huu mwanangu ulonifika mie
enhee?
Hususani baada ya wiki kadhaa ndipo hapo nikapokea baruaa,
Kilichokuwa ndani sikukitambua nilajakuelewa baada ya kuifunguaa
Nikakuta barua yenye ujumbe mzito ikiwa imeambatana na kadi ya mwaliko
Ndege wangu ameruka hayupo tena nami,
Sasa hivi sijui mwenzangu Mimi naniii?
Hali yangu duni imenifanya kuelemewa
Na hivi karibuni demu wangu anaolewa
Barua inanisitiza harusini nihudhuriee
Na mie siku hiyo sijui wapi nianziee?
Mpenzi umeniacha kwenye nyavu nimenasa
Nimebaki ka kipofu sioni pa kupapasaa!
Nikisoma barua kumalizia huwa nashindwa nahisi kama inanitonesha donda
 
Siku mapigo yangu ya moyo mwisho yatapogota
mwili utazima mfano wa nyota inapodondoka
staweza kuamka tena macho yangu yatapofumba
safari imewadia naenda kwa baba muumba

masela nawaachia wosia
waambie ndugu na jamaa wapunguze kulia
sote tutakwenda bali me natangulia
Nimeamini unataka uwe na mimi...

Ila watu wenye majungu wanaleta fitina uachane na mimi yei yei ieyi....
 
"Ni vema ukafikiri kabla ya kufanya maamuzi
Tazama mbele usije ukanywa chai kwa mluzi
naamini askari shupavu ni lazima upitie depo
vinginevyo ndugu yangu utakuwa unapaka rangi upepo
Kama unapata 1 iweje usipate na 100
hiyo inawezekana kwa wote mlio na nia
sioni sababu ya msingi kuomba kwenye mitaa
kama una kipaji iweje ufe na njaa"
 
Kwanza naenda kwa Pusha nachukua mapuli Ganga
baada ya kuvuta ,nakula vizuri nyama
kilo ya kuku ,Mbuzi au hata ng'ombe sana
nikishashiba naamia kwenye pombe
mitungi na kreti, sigara na pakti
kamwe haunikuti nmelala kwenye party
hua siingii kati ,naegemea ukuta
nakamata viuno vilivyolegea mfupa
Huyu akichomoa ,namchomekea yule
We wanakuchuna , mi wananigea bure
 
Kwanza naenda kwa Pusha nachukua mapuli Ganga
baada ya kuvuta ,nakula vizuri nyama
kilo ya kuku ,Mbuzi au hata ng'ombe sana
nikishashiba naamia kwenye pombe
mitungi na kreti, sigara na pakti
kamwe haunikuti nmelala kwenye party
hua siingii kati ,naegemea ukuta
nakamata viuno vilivyolegea mfupa
Huyu akichomoa ,namchomekea yule
We wanakuchuna , mi wananigea bure
endelea tafadhali..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
endelea tafadhali..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mchunge mke , nna sumu kama nge
niko full ka ikulu , sipigi kazi za nje
namwaga radhi ,nafanya vituko
sipendi ahadi , nachana mifuko
simsumbui mtu ni starehe zangu , maisha yenyewe mafupi sijui tarehe yangu

kama una familia bora usiniige mimi
hukawii kuuza nyumba usipokua makini
nakesha kama bundi sikumbuki kitanda
nakula mitungi Hadi mida ya Makonda
 
Back
Top Bottom