Njoo tupeane maujanja ya kushinda tatu mzuka

Njoo tupeane maujanja ya kushinda tatu mzuka

nilimsikia Jamaa mmoja nadhani ndo CEO wa hiyo tatu mzuka Sebastian maganga anasema lazima zifuatane
Sio lazma zifuatane.mfano mm niliweka 869 alaf iliyotangazwa in 698 na wote tulishinda na nilipewa laki moja yangu
 
Nimekuwa mchezaji mkubwa huu mchezo. Huwa nakula na naliwa pia. Kakini ninachokiona ni kwamba yapo majina yana appear sana kana unaweza dhani kuna kanuni fulani ya mzunguko wa mashine wanaufahamu. Kwa anayehamu aje atupe maujanja.huu mchezo ni mzuri
angalia hapo
 
Wale wa mathematics waje watupe kanuni za mzunguko wa gurudumu za namba
Nilishajaribu 3 mzuka siku 1 nikaliwa ila nikagundua kushinda kiasi kikubwa cha hela 3 mzuka ni sawa na ngamia kupita ktk tundu la sindano. Ni mchezo mgumu sana na km unacheza kwa mara ya 1 huwezi kushinda.
-500 yangu imeniuma sana bora ningenunua soda nikanywa
-Bonanza nililiwa 200 sikucheza tena sitacheza tena hata km unipe hela nicheze siwezi kucheza bora ninunue soda ninywe
-Kubeti kwenye mpira nililiwa 2000 ilikuwa mwaka 2013 tangu kipind hicho sijacheza tena mpaka wa leo na sitegemei kucheza.
N.B
Watu wataniuliza broo mbona unalalamika wakati hela ndogo hivyo?
Jibu: Hela yyte ina thamani kwangu na huwa nacheza kwa kiasi kidogo cha hela kilichopangwa na kampuni kwahiyo siku hiyo wakinila huwa sichezi sbb nikikomaa kucheza kila siku nitakuwa napoteza hela na huwa sitaki niathiriwe na hii michezo.
*Mahitaji
200-Viberiti 2
500-Sabuni
2000-Unga kilo 2 za sembe au mchele kilo 1.
Hapa maisha si yanasonga? Kwann nipoteze hela 3 mzuka wakati inaweza fanya mambo mengine?
 
Naombeni dawa ya kutbu ugonjwa wa kamar coz nimekua addicted xana na nahtaj kuacha
 
Back
Top Bottom