Njoo tupeane maujanja ya kushinda tatu mzuka

ibesa mau

JF-Expert Member
Sep 17, 2015
2,109
1,692
Nimekuwa mchezaji mkubwa huu mchezo. Huwa nakula na naliwa pia. Kakini ninachokiona ni kwamba yapo majina yana appear sana kana unaweza dhani kuna kanuni fulani ya mzunguko wa mashine wanaufahamu. Kwa anayehamu aje atupe maujanja.huu mchezo ni mzuri
 
Wale wa mathematics waje watupe kanuni za mzunguko wa gurudumu za namba
 
Ingia google alafu google rng (random number generator) huo ndo mfumo kamari zote hutumia,haina ujanja mkuu
 
Ningependa kujua terms a d conditions za kucheza tatumzuka baada ya forex kunipiga kipigo cha mbwa mwizi.

Hivi zile namba tatu za ushindi ni lazima ziwe zimefuatana kama ilivyo?
Yaani mfano 234 ndo namba ya ushindi. Ili nishinde ni lazima nitume 234 au hata 324 inakua imeshinda????

Anayefahamu tafadhari. Ukiweka na kapicha ka kuprove itapendeza
 
nilimsikia Jamaa mmoja nadhani ndo CEO wa hiyo tatu mzuka Sebastian maganga anasema lazima zifuatane
 
Nimekuwa mchezaji mkubwa huu mchezo. Huwa nakula na naliwa pia. Kakini ninachokiona ni kwamba yapo majina yana appear sana kana unaweza dhani kuna kanuni fulani ya mzunguko wa mashine wanaufahamu. Kwa anayehamu aje atupe maujanja.huu mchezo ni mzuri
Tatu mzuka ni upuuzi mkubwa we unachukua miatano yako unaenda kuitupa chooni .
Matapeli sahiv wamewekezs kweny kamali .baada yakuona njia za wizi wakawaida zimekuwa ngumu
 
Hii nchi kwa kamali haijambo
Watu wanacheza kamali hadi kwenye afya, "afya bundle" unajishindia bima. Ukikaa ukafkria kwa kina utagundua kitu.
 
hao wezi tu hasa biko wakifatiwa na 3 mzuka ubashiri wa kweli soka
 
Back
Top Bottom