Mimi nakataaa kabisa yani grupu lote lile hamna mwanaume hata mmoja haiwezekaniSiyo acting mkuu huyo jamaa nampata x pastor na hayo mafuta nimeyashuhudia ..its real
na kama hajahama ofisi zake zakhem naweza kukuelekeza ununue hayo mafuta na ufanye experiment mtaani kwako au kwenye sehemu yenye nyumati ya watu
1500 tsh labda awe amepandisha now
duh dunia imekwisha kaka sasa walijumuikaje pale na hali ya kuwa wanajua kuwa jamaa amekuja kuwaumbua si wangekimbia au hawakujuaFanya statistics kwanini mashuleni watoto wa kike hupandisha na kuanguka wengi na sio wa kiume
Kama umewahi kusoma boarding schools utajuwa hilo
Hiyo ofisi yenu iko wapi mkuu... Nimecheka mpaka mbavu zimeuma... Hii style ya misukule ya kina Gwajima haha teh. Nyie siku ya kiama mtakuwa kuni nyie...Siyo acting mkuu huyo jamaa nampata x pastor na hayo mafuta nimeyashuhudia ..its real
na kama hajahama ofisi zake zakhem naweza kukuelekeza ununue hayo mafuta na ufanye experiment mtaani kwako au kwenye sehemu yenye nyumati ya watu
1500 tsh labda awe amepandisha now
Sasa ukinunua ndo ufanyie niniSiyo acting mkuu huyo jamaa nampata x pastor na hayo mafuta nimeyashuhudia ..its real
na kama hajahama ofisi zake zakhem naweza kukuelekeza ununue hayo mafuta na ufanye experiment mtaani kwako au kwenye sehemu yenye nyumati ya watu
1500 tsh labda awe amepandisha now
hapo anawahamasisha tu kisha wanalala, uwezi toa pepo kwa msahafu, kunafanyika mawili tu, moja ni kulinyamazisha kwa muda kwa kulipa kile litakacho, pili ni kuweka pepo lingine kubwa lenye nguvu zaidi ya hilo lililopo ili kulinyamazisha, masharti ni lazima kulihudumia hilo lenye nguvu na kufuata masharti yake lisije kukugeuka.Mkuu wa Pepo anapojaribu kutoa Pepo...?
Mkuu sisi huwa hatuhongeki na vipande vya pesaMimi nakataaa kabisa yani grupu lote lile hamna mwanaume hata mmoja haiwezekani