mkuu iangalie hii video.. mi nimeimaliza sasa hivi.. kwa kweli alipotajwa kakobe askofu, hmm nikajua hawa wanajuana..Ngoja kwanza.
Dakika Ishirini na Nne (24)!
Ndefu sana.
Ntaitafutia Muda.
Vidole vina hamu ya Kubofya
Muda mchache uliopita nilianza nayo kidogo, nlipoona mambo ya mihadhara nkaamua kuipotezea.mkuu iangalie hii video.. mi nimeimaliza sasa hivi.. kwa kweli alipotajwa kakobe askofu, hmm nikajua hawa wanajuana..
nimeenda mpaka mwisho, inasikitisha sana kuona wanawake wanavyoathirika sana na uchawi, majini na nguvu za giza kwa ujumla..
Ahsante Kiongozi.mkuu iangalie hii video.. mi nimeimaliza sasa hivi.. kwa kweli alipotajwa kakobe askofu, hmm nikajua hawa wanajuana..
nimeenda mpaka mwisho, inasikitisha sana kuona wanawake wanavyoathirika sana na uchawi, majini na nguvu za giza kwa ujumla..
Karibu tujifunzze kitu kipya.