Njoo tujiajiri

Njoo tujiajiri

Guys naomba nieleweke hivi hyo kujiajir akujalishi umri, jnsia, elimu, au rangi yeyote anaweza ifanya ila nasisitiza kama uko serious karibu kama hauko serious subri jokers wenzako watakuja.... Wapenda comment zakukurupuka endeleeni hvyo hvyo, kwani kwenye mafanikio hawatakiwi watu wote bali sehemu ndogo sana ya watu ndio wanaotakiwa kufanikiwa. Wewe kama unataka njoo ofcn kwangu makumbusho stand ukifika piga simu atakuja mtu kukupokea utajua ni kazi gani na hapo ndio utakapotoa maamuzi kuifanya au kutoifanya. Wana jf wenzangu tubadirike natuwe ...., najua wapo waliipoliga kunijarbu na nimewajibu tayar wanaweza wapa feedback
 
Wewe ni mkurya?
 
Back
Top Bottom