ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
kama ni hivyo si angelinunua yenye storage kubwa hiyo jana?Anahitaji yenye storage kubwa kwa nilivyomuelewa mimi
kama ni hivyo si angelinunua yenye storage kubwa hiyo jana?
Ni kwelii mkuuu mm nilimuagiza mtu aninunulie lakini iliongezeka hela kidogo kama 120 akashindwa kujiongeza akaja na hiyo sasa mm nataka yenye storage kubwa yaani kuanzia 64GBHuwa inatokea mkuu, hata mimi ilikuwa nichukue iPhone [emoji336] 128GB lakini kutokana na visababu flani nikachukua 64GB ila nilipoanza kuitumia tu nikaona ni heri ningesubiri nipate ile ya 128GB Ila ndio nilishakosea
Haina tatizo lolote mkuu mimi nataka storage iwe kubwaaa nistorage tuuuUmenunua jana leo unaanza mchecheto umekuta inatatizo gani?
-Ndumilakuwili-
Kuna vitu vilitokea sio nilishindwakama ni hivyo si angelinunua yenye storage kubwa hiyo jana?
mabadilishano*Mabadirishano
Habarini! Mimi nina iphone 6 plus (6+) mpyaa kabisaa nimenunua Jana sijaanza kuitumia! Ila ni 16GB mimi nina Hitaji kufanya mabadilishano na mtu na Inapodi Pesa nitamuongeza
Mabadirishano yawe hivi kati ya haya yote nitayakubari
1.ANIPE IPHONE 6 PLUS (6+) 64GB nakuendelea nitamuongeza pesa! Mimi nimpe IPHONE 6 PLUS (6+) 16GB
AU
2.ANIPE IPHONE 7 PLUS 64 GB nakuendelea MIMI NIMPE iphone 6 PLUS 16 GB na Pesa nitamuongeza
Chaguo moja kati ya hilo nitakubali kwa mtu aliepo SERIOUS ani PM au anicheck kwa namba hii
0654385118
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbovu iyo mm naijua
Mkuu usipate shida ni kujiungana na iclaud tu na detail zako zitabakia siku zote na ni salama zaidi hata ukibadilisha simu nyengine hazitapotea au simu kuibowa .