Nilivyopoteza pesa zangu kwa marafiki wasomi

lacazent

Senior Member
Jun 7, 2020
147
88
Mimi ni kijana Mwenye umri kati ya miaka 25-30 lakini kwa niliyopitia naweza kusema asante Mungu.

Maisha nimeanzia kwenye biashara ya protion unaweza kusema (chinga mjanja) nimepambana sana kwenye mikoa kama 5 hivi nilianza Morogoro, Dar, Dodoma, Mwanza na Pwani nimevuruga mitaa mingi naijua mpaka ndani. 7890-
Mwaka 2014 niliacha biashara ya uchinga nakaenda home kununua mazao tobacco ilikua inalipa sana nakumbuka Nilitumia kama laki 8 kama mtaj nikapata ml 2.5 kwa miez 3 nilizokaa kijijini.

Mwaka 2015 nilirud town nakumbuka nilikua nimepanga chumba kimoja na washikaji zangu watatu jumla tulikua 4 nilivyofika mimi ndio nikawa big boss nikafungua biashara ya chips nikawachukua washikaji zangu ndio wakawa wafanyakaz wangu mm nalala tu ghetto nakula mziki jion nafata hesabu.

MATATIZO YALIPO ANZIA HAPA
Aliyekua boss wangu alikwenda Morogoro kugombea udiwan kupitia CCM kwa bahatimbaya kula tu za maoni alidondoka vibaya kumbe alikua amekopa 40ml kwa ajil ya uchaguz na 30ml watu wamekula ki ukwel aliyumba vibaya sana ile 10ml stress zilimfanya kuna sehemu moja Moro wanachimba madin akununua akapeleka A town wakamuambia wampe lak 4 hapo ndipo boss wangu alipo changanyikiwa ikabid atafute wawekezaj kweny ofis zake mmoja wapo niliyetafutwa ni mm maana maendeleo yangu alikua anayaona kwa sababu nilikua nakaa mtaa mmoja na ofis yake.

Basi yy kunifuata akaona noma akamtumia aliyekua manage wetu kwel Alifanikiwa kunishawishi niweke mzigo nami kwa kua biashara naijua sikuona noma Nikaweka 2ml Cash kibaya zaid kumbe zile 2ml zangu zimetumika kulipa madeni mkataba wetu ilikua kila wiki napata lak 2.5 kwa mwez 1ml mtaj wangu uko pale pale kwel wik ya kwanza nilipata baada ya hapo zikawa chenga na ahad hewa.

Siku moja nikaenda pale ofisin mzigo hakuna upo kama laki 3tu nilichoka kabisa lakn yule manege alinipa maneno ya kiume kwel kwel ukizingatia alikua ndio aliyenifundisha kaz ikabid tuingie mkataba ungine yani ifamike kwa wafanyakaz wote mm ndio boss wa pale yy aendelee kuwa manage wangu mkumbuke biashara ya chips inaendelea nikaweka tena 1ml nikawa Nina ofis mbil wafanyakz wangu walikua wananita big boss NDAMA.

Tumeenda na yule jamaa manage kipindi hichi yule boss wa ofis yupo moro kajificha siku moja nimemtuma manager wangu KKO alikua na Milioni 3 akasepa nazo zote nakumbuka nilitaman Nikimbie niache ofis kilichoniokoa ni Jukwaa hili ki ukwel nyuz zilizikuwemo humu enzi hizo kipindi Forex imepamba moto japo nilikua sio member nilianza kupambana upya saa Tisa naenda kko saa moja Nilisharud ofisi nilianza na mtaj wa lak sita nikapanda mpaka 4ml biashara ya chips nikaiua maana mshika mbil moja humponyoka.

Mambo yalienda vizur sana ki ukwel wafanyakazi walinikubali sana.

Nakumbuka siku moja yule boss alikuja pale ofisin kama utan vile akasimama kweny mlango wa stoo akasema Nipe funguo zangu hapo hapo na manage akafika wakasema kwamba nipishe kwenye ofis nikikukumbu wiki moja tu imepita nimetoka kulipa laki Tisa ya kodi ki ukwel mtoto wa kiume militia choz kimbilio langu likawa kituo cha polis njmawaelezea mwanzo mwisho Mwisho jamaa akaitwa pale polis Ikaonekana kashinda mpaka leo Sijaamin Jamaa akaombwa anipe pesa kidogo akanipa 1ml akabak na mzigo wa 6ml jasho langu.

Niliondoka na 1ml yangu nikaanzisha biashara ya tigo pesa nakumbuka nilianza na mtaj wa hilo wazo nilipata baada ya kuona UZI humu nilianza na mtaj wa lak NNE lak sita Zilitumika kwenye kupata lain na sehemu ya biashara mambo yalienda vizur sana mpaka nikafika mtaj wa 2.8.

MATATIZO yakaanza upya nikapata wazo la kuongeza ofis ya pili kuna rafik yangu mmoja mwanajesh akaniingiza kweny mtego tena akasema yy yupo bize akanipa pesa tuongeze kibanda kingine yy mwisho wa mwez nimpe lak tano tu nikaona mbona simple tu tukafungua ofis kwel nikawa nampa hiyo lak tano hata Dada wa kaz hakujua kwamba mwenye ofis ni nan kibinti kilikua kizur nikasema huyu simuachi tukaanzisha mahusiano sasa ikiwa kila nikipiga nae hesabu unakuta lak moja hakuna ukimuuliza shida kibao.

MAPENZI NA KAZI SUMU KUBWA starehe tumefanya inapita hata siku tatu hatujaenda kazn yule mwanajeshi akaona mambo hayaendi anataka mtaj wake kule kweny ofis yake imebak kama lak saba ikabid nitoe kwangu 1.8 ml nimpe yy kibanda cha pili kikafa nikabak na kimoja.

All in all nashukuru Mungu adui yako muombee njaa jamaa alienizurumu milioni 6 pesa yote imeisha Nami kwa sasa nimepata na wazo la kujenga nimenunua kiwanja now nipo site nasimamia mafundi mjengo unapanda tu.
 
Aah, ni mwiko dogo kuwa na mahusiano na mtu anaekufanyia kazi.

Mimi mwenyewe nina tigopesa, nimeajiri warembo kweli kweli wanne.

Nina ukaribu nao sana. Ila katika mahusiano ya kimapenzi sijawahi kufikiria. Ninawaogopa kama ukoma.

Imani yangu inanituma ikitokea, narudia ikitokea nimempenda mmoja, nitamuachisha kazi na nitamtafutia kwa marafiki zangu, ila kwangu hapana.
 
Aah, ni mwiko dogo kuwa na mahusiano na mtu anaekufanyia kazi.

Mimi mwenyewe nina TigoPesa, nimeajiri warembo kweli kweli wanne.

Nina ukaribu nao sana. Ila katika mahusiano ya kimapenzi sijawahi kufikiria. Ninawaogopa kama ukoma.

Imani yangu inanituma ikitokea, narudia ikitokea nimempenda mmoja, nitamuachisha kazi na nitamtafutia kwa marafiki zangu, ila kwangu hapana
Ki ukwel nami nimejifunza ki ukweli aliweza kunitega mtego ulinishinda mara kije home weekend kunichotea maji.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni kijana Mwenye umri kati ya miaka 25-30 lakini kwa niliyopitia naweza kusema asante Mungu.

Maisha nimeanzia kwenye biashara ya protion unaweza kusema (chinga mjanja) nimepambana sana kwenye mikoa kama 5 hivi nilianza Morogoro, Dar, Dodoma, Mwanza na Pwani nimevuruga mitaa mingi naijua mpaka ndani. 7890-
Mwaka 2014 niliacha biashara ya uchinga nakaenda home kununua mazao tobacco ilikua inalipa sana nakumbuka Nilitumia kama laki 8 kama mtaj nikapata ml 2.5 kwa miez 3 nilizokaa kijijini.

Mwaka 2015 nilirud town nakumbuka nilikua nimepanga chumba kimoja na washikaji zangu watatu jumla tulikua 4 nilivyofika mimi ndio nikawa big boss nikafungua biashara ya chips nikawachukua washikaji zangu ndio wakawa wafanyakaz wangu mm nalala tu ghetto nakula mziki jion nafata hesabu.

MATATIZO YALIPO ANZIA HAPA
Aliyekua boss wangu alikwenda Morogoro kugombea udiwan kupitia CCM kwa bahatimbaya kula tu za maoni alidondoka vibaya kumbe alikua amekopa 40ml kwa ajil ya uchaguz na 30ml watu wamekula ki ukwel aliyumba vibaya sana ile 10ml stress zilimfanya kuna sehemu moja Moro wanachimba madin akununua akapeleka A town wakamuambia wampe lak 4 hapo ndipo boss wangu alipo changanyikiwa ikabid atafute wawekezaj kweny ofis zake mmoja wapo niliyetafutwa ni mm maana maendeleo yangu alikua anayaona kwa sababu nilikua nakaa mtaa mmoja na ofis yake.

Basi yy kunifuata akaona noma akamtumia aliyekua manage wetu kwel Alifanikiwa kunishawishi niweke mzigo nami kwa kua biashara naijua sikuona noma Nikaweka 2ml Cash kibaya zaid kumbe zile 2ml zangu zimetumika kulipa madeni mkataba wetu ilikua kila wiki napata lak 2.5 kwa mwez 1ml mtaj wangu uko pale pale kwel wik ya kwanza nilipata baada ya hapo zikawa chenga na ahad hewa.

Siku moja nikaenda pale ofisin mzigo hakuna upo kama laki 3tu nilichoka kabisa lakn yule manege alinipa maneno ya kiume kwel kwel ukizingatia alikua ndio aliyenifundisha kaz ikabid tuingie mkataba ungine yani ifamike kwa wafanyakaz wote mm ndio boss wa pale yy aendelee kuwa manage wangu mkumbuke biashara ya chips inaendelea nikaweka tena 1ml nikawa Nina ofis mbil wafanyakz wangu walikua wananita big boss NDAMA.

Tumeenda na yule jamaa manage kipindi hichi yule boss wa ofis yupo moro kajificha siku moja nimemtuma manager wangu KKO alikua na Milioni 3 akasepa nazo zote nakumbuka nilitaman Nikimbie niache ofis kilichoniokoa ni Jukwaa hili ki ukwel nyuz zilizikuwemo humu enzi hizo kipindi Forex imepamba moto japo nilikua sio member nilianza kupambana upya saa Tisa naenda kko saa moja Nilisharud ofisi nilianza na mtaj wa lak sita nikapanda mpaka 4ml biashara ya chips nikaiua maana mshika mbil moja humponyoka

Mambo yalienda vizur sana ki ukwel wafanyakz walinikubal sana.

Nakumbuka siku moja yule boss alikuja pale ofisin kama utan vile akasimama kweny mlango wa stoo akasema Nipe funguo zangu hapo hapo na manage akafika wakasema kwamba nipishe kwenye ofis nikikukumbu wiki moja tu imepita nimetoka kulipa laki Tisa ya kodi ki ukwel mtoto wa kiume militia choz kimbilio langu likawa kituo cha polis njmawaelezea mwanzo mwisho Mwisho jamaa akaitwa pale polis Ikaonekana kashinda mpaka leo Sijaamin Jamaa akaombwa anipe pesa kidogo akanipa 1ml akabak na mzigo wa 6ml jasho langu.

Niliondoka na 1ml yangu nikaanzisha biashara ya tigo pesa nakumbuka nilianza na mtaj wa hilo wazo nilipata baada ya kuona UZI humu nilianza na mtaj wa lak NNE lak sita Zilitumika kwenye kupata lain na sehemu ya biashara mambo yalienda vizur sana mpaka nikafika mtaj wa 2.8.

MATATIZO yakaanza upya nikapata wazo la kuongeza ofis ya pili kuna rafik yangu mmoja mwanajesh akaniingiza kweny mtego tena akasema yy yupo bize akanipa pesa tuongeze kibanda kingine yy mwisho wa mwez nimpe lak tano tu nikaona mbona simple tu tukafungua ofis kwel nikawa nampa hiyo lak tano hata Dada wa kaz hakujua kwamba mwenye ofis ni nan kibinti kilikua kizur nikasema huyu simuachi tukaanzisha mahusiano sasa ikiwa kila nikipiga nae hesabu unakuta lak moja hakuna ukimuuliza shida kibao.

MAPENZI NA KAZI SUMU KUBWA starehe tumefanya inapita hata siku tatu hatujaenda kazn yule mwanajeshi akaona mambo hayaendi anataka mtaj wake kule kweny ofis yake imebak kama lak saba ikabid nitoe kwangu 1.8 ml nimpe yy kibanda cha pili kikafa nikabak na kimoja.

All in all nashukuru Mungu adui yako muombee njaa jamaa alienizurumu milioni 6 pesa yote imeisha Nami kwa sasa nimepata na wazo la kujenga nimenunua kiwanja now nipo site nasimamia mafundi mjengo unapanda tu.
Mbona hapo wasomi hawapo?? kiboya boya tu una invest kwa mtu na unafurahia kuitwa boss uchwara
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hapo nimeona vitu hivi:
1.Unaamini watu haraka
2.Hauko serious kwenye usimamizi
3.Mapenzi na kazi
4.Unakata tamaa haraka kwenye biashara.
 
Somo zuri.

Mafanikio hayaji kwa haraka haraka.
Inahitaj ufanye vizur biashara unayoifanya kwa siku nyingi ili upate faida.

Na pia uwe unatumia hela vizur .

All in all, mafanikio yanahitaj discipline ya hali ya juu
 
Big boss Ndama mutoto ya ngomb'e, mbona umetuacha kwenye mataa?

Hako ka demu ndiyo kashemeji, namaanisha ulikaoa?

Je ni biashara gani unaifanya kwa sasa mpaka inakupa 'jeuri' ya kujenga bila ya kutetereka?

Huyo tajiri dhulumati wa tumbaku anaishi maisha gani baada ya kufirisika?
 
Back
Top Bottom