Njoo tufanye kazi pamoja

Njoo tufanye kazi pamoja

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,597
Reaction score
1,868
Najua wengi wenu mnapita sehemu nyingi na mnakutana na watu wanao hitaji huduma hizi:

1. WEBSITE kama za mashule, taasisi, hotels, blogs, online store, saloon, video tube, music store, etc

2.WEB APPLICATIONS kama support system, client manager, project , management, store manager, student IS etc.

3. WEB HOSTING.

4. SEO (Search Engine Optimazation ) i.e. website yako iwe juu kwenye web engine like google, yahoo, bing, ask.com etc.

5. Brochures and Logo safiiii.

6. Business cards.

7. Digital contents like CVs, Banners etc.

LETA MTEAJA TUGAWANE MAPATO, na amini DALALI anaweza kupataza hata zaidi ya mwenye mali au anaefanya kazi, usiogope hata kama una kampuni yako, design by ni yako.

WEBSITE YETU:
mrinaupdates-Tanzania Cheap Web Design and Hosting | Tanzania Cheap Web Design and Hosting
EMAIL: info@mrinaupdates.com
Phone: +255 715 81 21 60, 0764/0785 -45 24 24

ASANTENI.
 
Changamkieni fursa wadau,tafuta kazi mpe Mrina ategeneze iwe website,blog nk, mimi binafsi nimeshafanya naye kazi kadhaa za kwangu na rafiki zangu,hana longolongo na kazi zake ni nzuri sana. Big up Mrinaupdates.com

Fungua id za kutosha kujifagilia. Comment moja haitoshi ujue

Unadhani kuna sababu ya kufanya hiyo King'asti ? kwan nilivyo fanya havijionyeshi? sasa huyu alie comment hapa unaweza angali kazi yake nilio mfanyie na ID yake kama ina endana na jina lake mwenyewe ingia hapa Home - Tanzania Tours Directory mwisho endelea kuwa hivyo hivyo.
 
Fungua id za kutosha kujifagilia. Comment moja haitoshi ujue

ha ha ha ha wait..unataka kuniambia alietoa tangazo na aliyepiga promo ni mtu mmoja? hahahaha yani ka sign in alafu kaweka thread..alafu ka sign out..ka sign in tena kama mwingine akenda ku comment kwenye thread yake..:lol:
 
Mimi na Bakulutu ni watu wawili tofauti,mimi natumia jina langu halisi sina a.k.a shida ya siku hizi IMANI imekwisha kila mtu anaonekana msanii,ndio maana watu wengine wanakosa fursa kwa kudhani kuna usanii au harufu ya usanii.

Back
Top Bottom