Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,372
- 6,509
Maburi
Engo sengiuuengo sheraton ...au engo ipi hyo?!!
Hahaha hiyo mitaa naipata sana...nishawahi ishi huko...Bila kusahau Biashara, Malambo, Mahaha,Salunda, Kidinda nkBariadi - Mnyantuzu orijino (Somanda hospitalini pale). Mitaa yote ya Sanungu, Sima, Kidinda, Mbiti, Majahida, Ibulyu, Ngulyati, Mahaha, Old Maswa, Ngashanda, Busheni, Matale, Ng'wamapalala, Bumela, Luguru ginnery, Ikungulyabashashi, Gamboshi...Love home...
Unasali kanisa la KKKT Engosengiuu?Engo sengiuu
Hapana mkuuUnasali kanisa la KKKT Engosengiuu?
Duuuu nitakutembeleanili pa mbeye pa MBALIZI KATA YA IWINDI kwa baba Admin swila.
Nasubiri Wa majengo au kambarage!!Stendi, Japanese kona kuelekea mitaa ya kambarage hadi mwasele..
Pale Japanese kona ukipandsha kuelekea Ibinzamata unapitia bakurutuNasubiri Wa majengo au kambarage!!
Kijana majengo au kambarage napapata tutajie wahuni wetu wa mitaa hiokina Ene ,Alex seseja kutoka ndala ,watoto was mzee Pungu kina Paulo na shigongo ,nura alhaji ngalama na wenginePale Japanese kona ukipandsha kuelekea Ibinzamata unapitia bakurutu
Ng'wamapalalaSawasawa bageshi. Nalaguchola uluniza koyi. Wabeja ilumbulyane !!!