Acha uwongo ww! Pc ambayo haina dedicated graphics ina struggle ku run game za zamani kama pes 2012 ije kuwa fifa 19? ! Tafuta pc ww yenye dedicated gpu tena kama nvidia isiwe chini ya level 50 yani ( gtx 850, 950, 1050 & above) na amd iwe level ya juu zaidi kwa sababu zinakua weaker kidg uki compare na equivalent yake ya nvidia.hata uwe na processor ya core i9 huwez kurun fifa 19 bila gpu!