"Njoo Ghetto"... Imezua balaa

hizi akili za kuwaza ngono kila saa ni shida sana.kwenda gheto na umalaya kuna connection gani mkuu???.so tusifanye vitu vya maendeleo kisa tunahofia kwenda Ghetto.Jaribu kuchange your mindset.

sasa unalalamika nini kwetu, siutulie tu hiyo ndio business isue uliyofata. Kama ni business isue zisizokuwa ngono huwa sio getto huwa ni kwenye mikusanyiko ya watu kama kwenye migawaha, wengine huwa bar wanakaa sehemu tulivu wanadiscuss, au kwenye mahotel kuna sehemu special kwa ajili ya business talk.
sio getto, wewe ni nyama unajipeleka kwa fisi? huyo unadhani ni kaka yako wewe mpaka asikutamani? yaani uko getto paja umeachia asikutamani amekuwa mti?
 
hapo mwisho umenichekesha sana, kwa hiyo hata dada zetu hawatakiwi kutuamini kabisa??!!
 
sasa na ww si ungempa tu!!" mbona wengine unawagaia ...........
 
Hahahaaaa. ......wa namna hyo kumbe bdo wpo?!ayaaa.....dawa nzur sn.ukisahau kumpatia teke ka pumbu akojoe bila kutia.
 
unajua i trusted him coz huwa tunaheshimiana sana,tukipata dili la business tunafanya pamoja.bt all in all nimejifunza sintarudia tena kwenda Ghetto la mtu
Vizuri,always tunajifunza kutokana na makosa
 
Angemwacha amalize ili apate ushahidi.
 
Hahahaha,dah..nouma sana, its not funny ila imebidi nicheke kwanza, maana kama muvi vile,kweli silaha inaweza ikawa chochote kile hata ndala!, Pole sana dada ila hakuna kesi hapo.
 
Vp misoda, mizawadi, mijuice, mivocha, ya jamaa ulikuwa hutumii? Make ww waweza kuwa chanzo cha tatzo then ukaja hapa kulalama bureee. Jamaa akiuliza vp? Huenda unajibu: Bado nakufikiria/ Oooh mambo mazr hayataki haraka, nk. Kama humtaki mchane LIVE, wala gheto usingefika!!
 
Tatizo na kwamba wanawake mna huruma sana. Mwenyewe utaenda mpa pole ya kuosha rungu.
 
exactly mkuu,maana kiukweli huwa tuko close,tunasaidiana na kushauriana pia,so nahisi jamaa alijua akibonyeza tu kitu kinatiki,kumbe mwenzake siko huko.
Hamnaga urafiki wa kutohusisha ngono kati ya mwanaume na mwanamke. Ukiona hivyo ujue ni shoga au anakulia taiming.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…