Qute cherry
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 294
- 136
- Thread starter
-
- #21
Hahaha mgumu wewe?? Huyo jamaa duh sijui ndio domo zege hahaha
niko na mesages zake whatsapp alizonitumia kusisitiza lengo la kukutana kwetu kwamba ni for business issues and not otherwise. kama tutafikishana mahakamani hope hizi mesage zake zitanisaidia
Hana lolote huyo si RB wala kukupiga,anakutisha tu utetereke ukamuombe radhi amalize shughuli.
Angekuwa na RB ungeshakamatwa maana anajua pa kukupata na kama ni wa kukupiga angekupiga hapo ulipomtia makonzi ya mwiko!
Relax. Ila hili liwe funzo kwako,mwanaume si wa kumuamini hata kama ni nduguyo!!!!
hahah! Ujue nimetoka pale nikawaza hivi nasubiria nini hadi now sijaenda kusomea UJohn Cena???.hahah bt mi nimeona Ni muujiza tu wa Mungu kunitoa pale.
Afadhali umenena wewe. Kila wakati nasemaga na nazidi kusema hakuna urafiki kati ya Dume na Jike. Ukiona mtu anatafuta udada wa hiari, jua ni masuala ya kugusanisha tu. Ndiyo sababu mpaka leo sitaki urafiki na Ke yeyote ili asiniharibie rekodi yangu ya kutogusaHana lolote huyo si RB wala kukupiga,anakutisha tu utetereke ukamuombe radhi amalize shughuli.
Angekuwa na RB ungeshakamatwa maana anajua pa kukupata na kama ni wa kukupiga angekupiga hapo ulipomtia makonzi ya mwiko!
Relax. Ila hili liwe funzo kwako,mwanaume si wa kumuamini hata kama ni nduguyo!!!!
isije ikawa anajua ulimshirikisha katika "Swali langu; ni Je ataacha kweli hii tabia? Au ni danganya toto tu? Au nifanye tu usawa wa kuengage kwenye relationship nyingine " BofyaHabari za weekend wana MMU.
mwenzenu Leo yamenikuta makubwa.
Nina rafiki yangu wa kiume ni just a normal friend,.......
exactly mkuu,maana kiukweli huwa tuko close,tunasaidiana na kushauriana pia,so nahisi jamaa alijua akibonyeza tu kitu kinatiki,kumbe mwenzake siko huko.
Hahaha mgumu wewe?? Huyo jamaa duh sijui ndio domo zege hahaha
Laiti maneno haya yangekuwa yana chembechembe ya ukweli japo kidogo basi dunia isingekuwa hapa ilipo.
Hapa ndio umekosea katika utungaji wa stori hii bi-dada, hakuna ramani ya hivi inayomruhusu mtu aliye bebwa juu juu kwenda chumbani akashika mwiko kwenye chumba cha jiko! This is a cooked story dear! na hapa ndio penye makosa kwenye utunzi.Ghetto lake ukitoka sebuleni unakuja jikoni then ndo chumbani, Asante Mungu pale jikoni nlifanikiwa kushika mwiko wa ugali
hapo kuna kesi ya shambulio la kudhuru mwili......... Vp ww una evidence yoyote inayoonyesha kuwa alitaka kukubaka?? Lakin usiogope kesi ndogo sana hyo wala haiendi popote