NJOMBE: Mafuriko ya MAGUFULI muda huu

NJOMBE: Mafuriko ya MAGUFULI muda huu

kwa nyuso zinazoonekana toka kwa wasikilizaji naona wanatafakari,hawamwelewi na wamekata tamaa na ccm. ***ukawa for life***
 
Magufuli ambaye pia ni mgombea wa urais kupitia ccm anazungumza kwenye viwanja vya sabasaba mjini Njombe muda huu.

Ahadi ni zile zile, dawa hospitali, elimu bora, kufuta siku za mapumziko ya kiholela holela na mengine mengi.

Kwa bahati mbaya hajasema ccm imefanya nini tangu iingie madarakani

Umati wa waliohudhurulia
View attachment 281748

Hahahahaha,umati huo umevunja rekodi kwa kweli dada Rose
 
Ccm walisema ukawa hawawezi kujaza uwanja wa jangwani vipi leo watasemaje na tbc watasomaje

magazeti ya kesho.
 
Haya njombe hiyo...huyo ndio Magufuli...ashasema lazima aweke lock....mtu kashindwa kujitetea leo ametumia kaka yake. Sharti la Mwakyembe aseme suu aone.....
 

Attachments

  • 1440865524275.jpg
    1440865524275.jpg
    113.3 KB · Views: 260
Lowassa imekuwaje anyimwe muda wakati shughuri ilikuwa yake mwenyewe ama MC katoka CCM kwa wakubwa zake?
 
Back
Top Bottom