NJOMBE: Mafuriko ya MAGUFULI muda huu

NJOMBE: Mafuriko ya MAGUFULI muda huu

Rose Mayemba

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2012
Posts
721
Reaction score
1,017
Magufuli ambaye pia ni mgombea wa urais kupitia ccm anazungumza kwenye viwanja vya sabasaba mjini Njombe muda huu.

Ahadi ni zile zile, dawa hospitali, elimu bora, kufuta siku za mapumziko ya kiholela holela na mengine mengi.

Kwa bahati mbaya hajasema ccm imefanya nini tangu iingie madarakani

Umati wa waliohudhurulia
1440856246898.jpg
 

Attachments

  • 1440856322551.jpg
    1440856322551.jpg
    40.2 KB · Views: 1,930
Anasema anawapenda wasanii.
Anasema pia atawasalidia madereva bodaboda ili zisiwasumbue
 
Muhimu awaambie ni kwa namna gani ataweza kutekeleza hayo anayoyaahidi. Asije kuwa kama Profesa wa kuchongwa
 
Ccm hatuna makeke wala makelele,ni siku hiyo 25/10/2015 ndipo mtaamini ccm bsdo ina nguvu
 
Muhimu awaambie ni kwa namna gani ataweza kutekeleza hayo anayoyaahidi. Asije kuwa kama Profesa wa kuchongwa

Magufuli anasema nini atakifanya...unafikiri ni UKAWA ambao hawana ilani wala hoja.
 
Amesema kasafiri kwa gari ili apate mateso wanayopata watanzania
 
Nimeondoka jamani...
Ngoja nikamalizie kastory ka malofa na wapumbavu wa UKAWA
 
Huku amemaliza, anaomba kura za mbunge.
Tusubiri jtatu atakuwepo lofa LOWASA
 
Mkutano unaendelea
 

Attachments

  • 1440857033909.jpg
    1440857033909.jpg
    42.9 KB · Views: 853
  • 1440857118096.jpg
    1440857118096.jpg
    39.9 KB · Views: 787
Back
Top Bottom