Njombe : CHADEMA yapoteza Wanachama watano katika ajali

Ni huzuni kubwa sana. Hatuna cha kusema. Nimepigwa kila upande.

UVIKANJO - mimi ni miongoni mwa waanzilishi.

KATIBA - Mimi ni miongoni mwa wanaoamini kuna umuhimu wa kupata katiba mpya.

JIMBO LA NJOMBE - Nimewahi kuwa mjumbe wa baraza la kichungaji la jimbo la Njombe wakati wa uongozi wa Askofu Raymond Mwanyika.

Hatuna tuwezacho kufanya zaidi ya kumwomba Mungu, kwa huruma yake, awajalie pumziko jema la milele. Awajalie moyo mkuu wanafamilia kuyapokea mambo haya yaliyo magumu kuyapokea kwa moyo wa kibinadamu.

Japo haibadilishi chochote, nijaliwapo afya njema, naomba nipate nafasi ya kuyaona tu makazi yao ya milele baada ya kushiriki maziko yao.
 
Hatusheherekei vifo lakini ni wake up call kwa wavimba macho wa Chadema wanaoshangilia vifo vya wenzao.
Tumegeuza siasa kuwa uadui.Ni funzo kubwa kwa wote.
RIP
 
waliokufa ni wakatoliki , walikuwa kwenye shughuli za kanisa , hawakuwa kwenye Chadema Digital
 
Taarifa iliyotolewa na Chadema Mkoa wa Njombe inaeleza kwamba , miongoni mwa Watu 9 ambao ni wanakwaya waliopata ajali na kufariki huko Njombe , baada ya gari waliyokuwemo kugongana na Lori , ni wanachama wake , na kwamba CHADEMA NJOMBE IMEPATA PIGO KUBWA KWA KUONDOKEWA NA MAKAMANDA WAKE KATIKATI YA MAPAMBANO YA KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI .

Kwa niaba ya wanachadema wote duniani Na kwa vile kupigania Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ni sawa na Kutenda Kazi ya Mungu , Basi nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai wa watu hawa aliyotupatia kwenye mapambano ya haki na namuomba Mwenyezi Mungu azipumzishe roho za Marehemu hao Mahali Pema Peponi , Amina .
pole sana makamanda
 
Ni huzuni kubwa sana. Hatuna cha kusema. Nimepigwa kila upande.

UVIKANJO - mimi ni miongoni mwa waanzilishi.

KATIBA - Mimi ni miongoni mwa wanaoamini kuna umuhimu wa kupata katiba mpya.

JIMBO LA NJOMBE - Nimewahi kuwa mjumbe wa baraza la kichungaji la jimbo la Njombe wakati wa uongozi wa Askofu Raymond Mwanyika.

Hatuna tuwezacho kufanya zaidi ya kumwomba Mungu, kwa huruma yake, awajalie pumziko jema la milele. Awajalie moyo mkuu wanafamilia kuyapokea mambo haya yaliyo magumu kuyapokea kwa moyo wa kibinadamu.

Japo haibadilishi chochote, nijaliwapo afya njema, naomba nipate nafasi ya kuyaona tu makazi yao ya milele baada ya kushiriki maziko yao.
Ameen mkuu
 
Back
Top Bottom