TANZIA Njombe: Anthony Mwandulami Afariki Dunia. Alijijengea kaburi la mamilioni ya shilingi

Kuna yule mzee wa Ruvuma "aliuwawa" na Mugalu kukosa penalty vs Prisons mwingine alikufa Mwanza ile penalty ya Darling vs Simba.
Mashabiki wa Yanga wamezoea shida kama wa Arsenal.
Hakika Mwenyezi Mungu aendelee kutujalia mashabiki wa Yanga hali uvumilivu! Wenzetu wanapukutika kweli kweli kwa sababu ya timu yao!

Na hii ni nje na wale wanaozimia wakati mechi ikiendelea!!!
 
duuuu hatari sànaa
 
Ni mnyakyusa ? Naona ana ngeli ta wanyaki akina mwakyusa,mwalami,mwasumbi nk
 
Huyo alikuwa mganga wa kienyeji katika kijiji cha mtwango,

alishajijengea kaburi la bilioni

machache kuhusu yeye

Huyuy mbuzi amesahau kumwambia boss wake kifo kinataka kukudhuru. Kama kuna kitu kinatupotezea muda waafrika basi ni ushirikina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…