mimimnyenyekevu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 760
- 1,037
Huenda ni njiwa tu wa kawaida hawafugwi hivyo wanakuja kulala hapo, sio kila kitu lazima kiwe na maana mkuuWasalaam ndugu zangu
Naomba nilete kwenu hii hoja.
Kuna njiwa wawili wa kike na wa kiume Huwa wanakuja kulala nyumbani kwangu, chini ya bati au Dari lakini asubuhi wanaonfoka ikifika jioni wanakuja tena kulala.
Siwajui ni wa nani, hivi hii inaweza kuwa sababu ni Nini?
HahaUSIANZE KUWAZA MAMBO YA UTAPELI UTAPELI KAMA @Covax na genge lake majini majini
Hiyo ni dalili kwamba katika ukoo wenu mmoja wenu atakuwa kiongozi mkubwa sana wa nchi kabla ya mwaka 2026.Wasalaam ndugu zangu
Naomba nilete kwenu hii hoja.
Kuna njiwa wawili wa kike na wa kiume Huwa wanakuja kulala nyumbani kwangu, chini ya bati au Dari lakini asubuhi wanaonfoka ikifika jioni wanakuja tena kulala.
Siwajui ni wa nani, hivi hii inaweza kuwa sababu ni Nini?
USIANZE KUWAZA MAMBO YA UTAPELI UTAPELI KAMA @Covax na genge lake majini majini
Hakuna viumbe watata kama njiwa.Wasalaam ndugu zangu
Naomba nilete kwenu hii hoja.
Kuna njiwa wawili wa kike na wa kiume Huwa wanakuja kulala nyumbani kwangu, chini ya bati au Dari lakini asubuhi wanaonfoka ikifika jioni wanakuja tena kulala.
Siwajui ni wa nani, hivi hii inaweza kuwa sababu ni Nini?
Njiwa sio waislam bana. Kuwa na aman. Hawawez kubeba majini