Mkuu ukimwi upo Tanzania nzima cha muhim asipende utelezi atumie kondom ila karatu raha sana watoto wa kimburu weupeee shepu kama loteeee nazani kwa Tanzania karatu panaongoza kwa wanawake wazuriKuna ukimwi hapo balaa ,hawa jamaa wa Tours wakishika Dola zao baada kupiga game kuwashangaa Sharubu na wengineo breki ya kwanza Karatu
Hivi wewe kumbe ni Ke!Tukutane jumapili kwa Morombo, ukiku tana na mdada mwenye afro ndefu kuliko wote jua tu ni mimi, nipate hapo unipe hi
Ndio kwani umeona picha yangu sehemu?Hivi wewe kumbe ni Ke!
Serious!Mkuu kama una drive njoo hadi karatu kuna pini za maana hujapata kuona Tanzania madem wazuri mno yani kama wale wa kuchora
...usipopita Kilimanjaro mountain the roof of Africa bado utakuwa na deni kubwa sana kuijua Tanzania
Siku zote nipo jf nikijua wewe ni meNdio kwani umeona picha yangu sehemu?
FreshSiku zote nipo jf nikijua wewe ni me
Yote ni kutokana na michango yako unavyo iwasilisha jamvini
Nampataje huyoHahaha...pandishwa midadi wewe tu ukapandwe.
Karatu kuna toto kweli...hapo ndiyo centre ya serengeti, ngorongoro na vivutio vyote upande wa pili.
Nakumbuka tulikuwa tunapatania Karatu kwamba pana guest house nyingi kuliko nyumba za kuishi. Nazozikumbuka zilizokuwepo Saley's, Miami,...ni wazuri... Inna atakufundisha salamu kidogo wasikuone mgeni.
Pamoja manKama unataka night clubs kwa Arusha
-Club D-moshono sio mbali kutoka Town.
-AQ hapa ni stand tu pale.
-Pale mrina hapajakaa kiaje ila usiku panaamka kinoma. Sema pamejaa mifuko arifuu.
-Tafuta catcher akutembeze Via Via, Picnic, Matako bar... nasahau...Pinpoint.
Ile ile wechu.Pamoja man
Ndo manake niko ndani ya A town tayriUpo chuga kweli? Sasa kama ushajikoki mfuko umeshiba uzigid kwa fasi
Ukisema wechu unamaanisha nini?Ile ile wechu.
Wechu ni kivumishi kikurupushi.Ukisema wechu unamaanisha nini?
Budah kiswahili ya huku ni hatari lazima uangalie na vitendo la sivyo utayumba na ukiyumba unakua mateka arideUkisema wechu unamaanisha nini?
Duh mnanitisha ujueBudah kiswahili ya huku ni hatari lazima uangalie na vitendo la sivyo utayumba na ukiyumba unakua mateka aride