Njiani kuelekea Arusha

Mimi ningekupa viwanja vya mbuga.... hivyo vingine huwa sivielewi.
 
Ukifika mianzini shuka hapo ulizia matako baa pana mama zina mzigo wa kushato.
 
Hakikisha humkosei Mungu katika starehe zako hizo. Pumzi yako kaishika yeye
 
Nenda ngorongoro na monduli ukaone namna maasai wanavyofanya shughuli za ufugaji
 
Mkuu kama una drive njoo hadi karatu kuna pini za maana hujapata kuona Tanzania madem wazuri mno yani kama wale wa kuchora
 
...usipopita Kilimanjaro mountain the roof of Africa bado utakuwa na deni kubwa sana kuijua Tanzania
 
Mkuu kama una drive njoo hadi karatu kuna pini za maana hujapata kuona Tanzania madem wazuri mno yani kama wale wa kuchora
Kuna ukimwi hapo balaa ,hawa jamaa wa Tours wakishika Dola zao baada kupiga game kuwashangaa Sharubu na wengineo breki ya kwanza Karatu
 
Maserani Snake parks (kisongo) nauli toka town had hapo ni 800tu, aina zote za nyoka zipo, pia utapanda ngamia hapo hapo ukipenda, wazungu pia wapo wa kumwaga hapo
haha wazungu wamegeuka kivutio mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…