Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 4,048
- 3,051
Safi sanaa mzee Dotto una mawazo kama yangu, ukiwa na fursa nzuri hakuna Starehe muruaa kama kupiga trip mkoa to mkoa. Safari Njema Mkuu wanguNiko njiani naelekea Arusha natokea Dar, lengo ni kutembea tu ku-refresh kuijua nchi yangu Tz. now nimeichagua Arusha, next time naenda Mbeya
Nitakuwepo Arusha wiki moja tu, so naomba kwa wanaoijua A town vzr wapi nitembelee maeneo gani ya kula bata, club, makumbusho n.k ukiacha mbuga za wanyama
Nipe maelekezo sasaSafi sanaa mzee Dotto una mawazo kama yangu, ukiwa na fursa nzuri hakuna Starehe muruaa kama kupiga trip mkoa to mkoa. Safari Njema Mkuu wangu
Mkuu fafanua vzr hapo kwa wazungu Unamaanisha wanauza au?Maserani Snake parks (kisongo) nauli toka town had hapo ni 800tu, aina zote za nyoka zipo, pia utapanda ngamia hapo hapo ukipenda, wazungu pia wapo wa kumwaga hapo
Watalii tu toka mataifa mbali mbali mtabadilishana Mawazo and the likeMkuu fafanua vzr hapo kwa wazungu Unamaanisha wanauza au?
Nipe maelekezo sasa
Usije niingiza choo cha kike weweTukutane jumapili kwa Morombo, ukiku tana na mdada mwenye afro ndefu kuliko wote jua tu ni mimi, nipate hapo unipe hi
Isije kuwa za mtu mwingineSubir nikutumie picha zangu pm
CAG atahusu hapaIsije kuwa za mtu mwingine
Umeona eeeh!!CAG atahusu hapa
Wa stendi. nasikia inachukua hadi wiki kufika kileleni ni kweli? nipe maelekezo hapoBreak ya kwanza tembelea mrina kwanza
Wa stendi. nasikia inachukua hadi wiki kufika kileleni ni kweli? nipe maelekezo hapo
Umemaliza haina haja ya kuongezaKesho jion Ukitaka pozi Zuri la jion. Nenda PICNIC wenyewe wanaita stress free zone, utaipenda. Jumapili mchana nenda Morombo kula nyama choma za mbuzi hutoisahau Arusha hakika
Acha basi!!!skuzote mm najua ww ni me kumbe ni she!?mdada mwenye afro ngoja nitafakari maana weekend nakuaga kwa morombo kwenye nyama choma sanaTukutane jumapili kwa Morombo, ukiku tana na mdada mwenye afro ndefu kuliko wote jua tu ni mimi, nipate hapo unipe hi