ben milazo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 995
- 678
dah mwenzako naletewa na maswali ya kusolve saa 4 usiku eti yamemshinda namvutia mdaMimi alikua anakuja kuangalia taarifa ya habari,matokeo take hata taarifa ya habari haijaisha keshasinzia,hiyo kipindi naanza maisha mwananyamala kwa mama zakaria
Sent using Jamii Forums mobile app
kwamba hii ni chai afu uyu jamaa si ndo yule mtunzi wa story ya jini!
Haha ndiye huyo Huyo ... zaidi ya salamu yake hupaswi kuamini chochote atakacho kisemakwamba hii ni chai afu uyu jamaa si ndo yule mtunzi wa story ya jini!
dah kumbe ni mtunzi mzuri #aende global publishers kuna ajiraHaha ndiye huyo Huyo ... zaidi ya salamu yake hupaswi kuamini chochote atakacho kisema
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo kaka hakugundua mwishowe?Kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi bandalini nilikuwa nashughulika na chakula nilikuwa kitengo cha upakuaji, sasa kaka fulan hv anafanya kazi hapo bandalini yaan huyo kaka ni mzuri, mrefu tu wakutosha, halafu ana mwili fulani hv sio mwembamba wala mnene yaan mwili fulani wenye mvuto yaan hata wanaume wenzie wanamkubali halafu alikuwa na muonekano fulani hv yaan mpole, mstaarabu na alikuwa mtu poa hana malingo ndio nilizidi kumpenda, yy ni kama staff akija pale kuchukua chakula hana haja yakuletewa huwa anakuja jikoni kuchukua, bhasi wee! Nilikiwa nampendeleaje! Alikuwa mpenzi wa maharage yy hataki mchuzi mtilie tu nyama kavu iwe ya kuku, ng'ombe ama samaki nilikuwa nampendelea sana. Sasa kuna siku mfanyakazi mwenzangu akampimia mm nilikuwa na shughuli fulani hivi sikupata muda wa kumpia yaan nilichelewa kidogo ila nilikuwa nafanya ile shughuli ima nimpimie mwenzangu akaniwahi nilimaindi nikaanza kufoka nani kakutuma umpimie mteja wangu kwani hiki tengo chako, wafanyakazi wenzangu wakaguna wakasema unampenda huna lolote
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ulisema?
Ukiona mmanyoya?Na ulisema?
We mpoleManeno yafuatayo hutumiwa na wanawake kutongoza wanaume.
Za kunisusa?
Athante
Niaje bro, nimeona nikupe hai tu.
Mbona jana sijakuna kazini?
duuuuuuuuuh,,kumbe ni mweupe???ulifaidi sana,,,sasa kwa nini ulimpotezea mkuuSina uhakika...maana hata Hy michirizi nilio ikuta Ni wekundu tu wa kawaida kwa mtu mweupe hata akijikuna inaweza kutokea...nahisi ile ilikuwa Ni gear ya kutimiza adhma yake
Sent using Jamii Forums mobile app
duuuuuuuuuh,,kumbe ni mweupe???ulifaidi sana,,,sasa kwa nini ulimpotezea mkuu
Pole
Hii nadhani haita apply kwa strangers.. at least kama huwa mna kawaida ya kuonana mara kwa mara.. ama ile ya mmezoea kukutana kwenye lift.. hivi hivi hata mwanaume anaweza kushindwa ku react kwa namna ulivotarajiaHao sasa mbona wanazunguka sanaa.
Cha kwanza when you see what captivates your interest and makes your heart race.... establish eye contact. Firm eye contact. And not once.
Once ataona ni bahati mbaya macho yalikutana tu. If he looks away and happens to look at you again, look at him straight in the eyes, give a tiny little smile.... blush flutter your eyes and look away.
Aaaaagh kama hajasoma tu mara ya pili huyo ni bogus. Or gay. Msonye and Look elsewhere.
Zingatio: Sasa bwana hakikisha he is looking at you, not looking past you. Aibu sana he waves unadhani he is waving at you ukija kuangalia nyuma there is someone else.πππππππ
Wait nitajaribu practically.ππHii nadhani haita apply kwa strangers.. at least kama huwa mna kawaida ya kuonana mara kwa mara.. ama ile ya mmezoea kukutana kwenye lift.. hivi hivi hata mwanaume anaweza kushindwa ku react kwa namna ulivotarajia
jibu swaliUnapenda Sana watu weupe mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi Nina bahati nao Sana, kwangu kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app