mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,966
Njoo unipende na unitege Mimi tafadhaliHaloooo! mwanamke akipenda watu wakijua anaonekana kama mhuni lakini sivyo hata sisi tumeumbwa na hisia mm nikimpenda ntamtega huyo na mitego kibao itayoendana na mazingira
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia Ni ngumu kutongozwa na mwanamke unayempenda. Sijui kwa wengineMimi nilishawahi kutongozwa mara zaidi ya kumi..
shule ya msingi nilitunukiwaga sana ila nilikuwa naogopa
Sekondari mara 5 ma zaidi
Advance nilikuwa uboizini aise
JKT mara 4
Chuo mara 3 na nikatunukiwa mizigo yenye idadi nzuri
Tatizo ni kwamba wanawake walionitongoza aise sijaqah kudumu nao sana na ilitokea kuwa despise na pia nilijiona nina kiburi kumbe sikuwa hivyo....Mpka ss e of them said they are regretting not to married by me.
Ushachukuliwa nyota na Waarabu,au pengine wana shida ya watoto..vipi nyie weupe au weusi sana..Nakumbuka nilikuwa nchi flani Ina wanawake makauzu..nilimpata manzi aliyenizoea ghafla. Kisa kuongea kwangu Kiswahili, ikaenda tukajikuta tupo ktk mahusiano..lakini mi binafsi Nilikuwa mguu nje mguu ndani kutokana na nilikuwa na malengo yangu huko ktk nchi yao, sasa nilikuja kushangaa siku moja aliponiambia anampenda brother kisa anaongea kiarabu, nilichoka ikabidi nimuelewe tu hakuna namna nikamwelekeza brother nae akamtafuna siku ile ile..yule demu akaniunganisha kwa sister ake nami nikatafuna siku hiyo..akasema sasa fresh na uhusiano uishe mi naelekea kuolewa na jamaa yangu wa muda mrefu...hivi kaolewa na wako vizuri tu na shemeji yetu.mengine ya huko ndani mi cjui....ila wanawake wanaotoka katika familia za kitajiri wana mapenzi ya ajabu ajabu sana.
Teh teh tehUshachukuliwa nyota na Waarabu,au pengine wana shida ya watoto..vipi nyie weupe au weusi sana..
Mi c mweupe wala mweusi ila brother pia hakuoa yeye, sasa hiyo nyota wanaipeleka wapi? Hahaaah huyo aliyechukua nyota yangu kudadadeki atakuwa anajuta na pengine ananitafuta anirudishie huko aliko..pasua kichwa hasa.Ushachukuliwa nyota na Waarabu,au pengine wana shida ya watoto..vipi nyie weupe au weusi sana..
Ndio inauma mbona wapo wanaume wengne wana tabia hiyoHlf cjui Kwanini mdada akikutega kimapenzi, mwanaume usipoonesha response yoyote huyo mdada anaanza kukuchukia lhera
Hahaha nakutania tu! Ila sijui kama ushaoa, ila kuwa makini na Mademu asilimia kubwa wenye mvuto ndio wepesi pia kuachia..Mi c mweupe wala mweusi ila brother pia hakuoa yeye, sasa hiyo nyota wanaipeleka wapi? Hahaaah huyo aliyechukua nyota yangu kudadadeki atakuwa anajuta na pengine ananitafuta anirudishie huko aliko..pasua kichwa hasa.
Hahahaa pole sana. Naona ulishindwa kuzuia hisia zakoKuna kipindi nilikuwa nafanya kazi bandalini nilikuwa nashughulika na chakula nilikuwa kitengo cha upakuaji, sasa kaka fulan hv anafanya kazi hapo bandalini yaan huyo kaka ni mzuri, mrefu tu wakutosha, halafu ana mwili fulani hv sio mwembamba wala mnene yaan mwili fulani wenye mvuto yaan hata wanaume wenzie wanamkubali halafu alikuwa na muonekano fulani hv yaan mpole, mstaarabu na alikuwa mtu poa hana malingo ndio nilizidi kumpenda, yy ni kama staff akija pale kuchukua chakula hana haja yakuletewa huwa anakuja jikoni kuchukua, bhasi wee! Nilikiwa nampendeleaje! Alikuwa mpenzi wa maharage yy hataki mchuzi mtilie tu nyama kavu iwe ya kuku, ng'ombe ama samaki nilikuwa nampendelea sana. Sasa kuna siku mfanyakazi mwenzangu akampimia mm nilikuwa na shughuli fulani hivi sikupata muda wa kumpia yaan nilichelewa kidogo ila nilikuwa nafanya ile shughuli ima nimpimie mwenzangu akaniwahi nilimaindi nikaanza kufoka nani kakutuma umpimie mteja wangu kwani hiki tengo chako, wafanyakazi wenzangu wakaguna wakasema unampenda huna lolote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli usemalo ndugu, yaani kama cc tunavyowinda totoz kali, totoz nazo zipo target kubaki na copyHahaha nakutania tu! Ila sijui kama ushaoa, ila kuwa lakini na Mademu asilimia kubwa kwenye mvuto ndio wepesi pia kuachia..
Aisee kumbe we ni jinsia pinzani?Haloooo! mwanamke akipenda watu wakijua anaonekana kama mhuni lakini sivyo hata sisi tumeumbwa na hisia mm nikimpenda ntamtega huyo na mitego kibao itayoendana na mazingira
Sent using Jamii Forums mobile app