Wana JF naomba mnisaidie ushauri coz nina tatizo ya njia gani nitumie ili kujikinga na mimba kwa muda huu wa masomo? Nimejaribu njia mbalimbali bt kila moja ni matatizo , hivi karibuni tu nimetoka kuondoa njia ya njiti(vijiti) coz nableed km mtu aliyeharibikiwa mimba ,[/QUO
Inaonesha unapenda kuzini sana wewe! achana na zinaa binti ina madhara mengi!
acha mgegedo hadi umalize masomo
Wana JF naomba mnisaidie ushauri coz nina tatizo ya njia gani nitumie ili kujikinga na mimba kwa muda huu wa masomo? Nimejaribu njia mbalimbali bt kila moja ni matatizo , hivi karibuni tu nimetoka kuondoa njia ya njiti(vijiti) coz nableed km mtu aliyeharibikiwa mimba ,