Njia za kupunguza hasira

Kunywa na ya alovela glas 2 kla baada ya masaa 4
 
Pili pilii? Ikiniunguza utumbo!!!!mi siku hiz afadhaliii hata humu nikiuziwaa naona kawaida najisumbua bure tu
 
Je mlevi akiwa na hasira? nae abugie malimao?
 
mfano, MAREKANI ina hasira sana na IRAN juu ya suala la nyuklia na matumizi ya mabavu kwa raia wake,

je, unashauri nini hapo?
Amshauri Obama sababu ye ndo mkuu wa inchi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…