Njia za kuongeza thamani kwenye Biashara na kukuza uhitaji

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
IMG_20210611_134205_244.png


Boresha huduma kwa wateja kwa kuongeza kasi ya kutoa huduma, kuchangamkia wateja, kuthamini muda na kutengeneza mazingira rafiki na mteja wako.

Toa bidhaa au huduma yenye ubora na inayoendana na thamani ya pesa, watu huwa tayari kutoa pesa zao kwenye vitu wanavyovithamini.

Boresha mazingira ya utoaji wa huduma yako, ikiwa unatoa huduma katika mazingira safi bidhaa yako huwa na thamani na unakuwa na uwezo wa kupanga bei ambayo itakupatia kipato kizuri.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom