njia za kunusuru penzi

njia za kunusuru penzi

iphone 18 promax

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
2,914
Reaction score
2,142
kuhusu namna ya kudumisha penzi iwapo wewe umeolewa hasa kwa kina mama ambao penzi lao ninaelekea kuyeyuka. Na bila jitihada za hapa na pale penzi lako na mumeo linaweza kunyauka kabisa!!! Na ukumbuke wahenga walisema PENZI ni MAUA kuna kuchanua na kunyauka. Na penzi linaponyauka huwa yanatokea maumivu makali sana ndani ya moyo, maumivu ambayo hayana kifani. Sasa ufanye nini ili penzi lako lisinyauke? Zingatia yafatayo:

i) Hakikisha unakuwa karibu na mumeo
ii) Mumeo akirudi kutoka safarini au kazini mupokee kwwa mabusu na upendo wa hali ya juu
iii) Kama utakuwa na nafasi jitahidi kumuandikia msg mumeo za upendo na kumfariji
iv) Na mwisho kumbuka kuwa munapokuwa katika sita kwa sita jitahidi kutoa sauti ya mahaba huku ukijitahidi sana kumpa penzi kutumia ujanja wako, na kama atamaliza mwambie "POLE MUME WANGU" ni kweli hizi njia zinaweza kunusuru ndoa

 
... Corner corner baby. . .
 
Mafanikio ya ndoa au mapenzi kimsingi ni tabia njema na za kweli. Anaweza kuwa anampokea mumewe kwa mabusu lakini moyoni hamna kitu bali kutaka chuma ulete. Je na mwanamume mbona umemsahau au ni yale yale kuwa kazi ya mapenzi ni ya mwanamke? Huwa nachukia na kupinga ubaguzi wa kijinsia sina mfano.
 
Mafanikio ya ndoa au mapenzi kimsingi ni tabia njema na za kweli. Anaweza kuwa anampokea mumewe kwa mabusu lakini moyoni hamna kitu bali kutaka chuma ulete. Je na mwanamume mbona umemsahau au ni yale yale kuwa kazi ya mapenzi ni ya mwanamke? Huwa nachukia na kupinga ubaguzi wa kijinsia sina mfano.
hii ni kwa wanawake sijaongelea wanaume
 
Muwashauri na wanaume, hata wao mapenzi yanawayeyukia siku hizi. What goes around comes around.
Mie natumia madea style. Where is my ak47?
 
Ndio unataka ufanyiwe hivo na mkeo?

Tafuta mwanammke alie kaa kibiashara zaidi, atakae kulaghai hivo, lakini mwanamke wa kweli ni kama mwanajeshi.

Kwani bibi yako alikuwa anampokea babu yako magogo ya kuni kule kijijini?
 
Unaweza ukawa bize kunusuru penzi ukafanya kila kitu mpaka ukajidhalilisha nafsi yako, lakini ukweli unabaki huyo unaye mpigania ana haja ya kunusuriwa? Mapenzi yaweza kuwa utumwa na jaka la moyo.
 
Na katika Ishara zake ni kuwa amekuumbieni wake zenu kutokana na nafsi zenu ili mpate utulivu kwao. Naye amejaalia mapenzi na huruma baina yenu. Hakika katika haya bila ya shaka zipo Ishara kwa watu wanao fikiri. [30:21]

hakuna kingine hapa ni kuwa na mapenzi ya dhati na huruma kama alivyotutunuku Mwenyeezi Mungu ukiwa na mapenzi ya dhati na huruma utafanya kila kitu kizuri kumfanya mwenzi wako awe na furaha na mtayanusuru mapenzi yenu na mafisadi
 
Kwani bibi yako alikuwa anampokea babu yako magogo ya kuni kule kijijini? hii ni zamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom