Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,541
- 30,097
mie ukiniambia hivyo jua ujitayarishe kuja kunikuna
Lakini nasikia ulipewa unyapara huko?
Njia ya kuepuka ban ni kuacha kuyasema hayo maneno..Ukiwa raia wa Japan na ukihamia Tanzania itabidi ubadili jina utafute la kibongo ilimradi usiwape watu taabu kusikia hilo jina(unayajua majina ya kijapan sina haja kuyasema)Kama kichwa cha habari kinavyojinasibu....Hii ni mara ya pili sasa mtu mzima namalizia kifungo cha takriban wiki moja....
Hii na hatari sana maana naona ninakoelekea nitaenda kupata kifungo cha maisha...kwani nilipomaliza kifungo cha kwanza hazikupita wiki hata mbili nikaswekwa ndani...
'Hivi kumwambia mtu kama unawashwa njoo nikukune' ni tusi..Khaa..Hicho kisentensi ndo kilicho nipa Ban wajameni...
Copy to Arusha one na wana CC wote...
Njia ya kuepuka ban ni kuacha kuyasema hayo maneno..Ukiwa raia wa Japan na ukihamia Tanzania itabidi ubadili jina utafute la kibongo ilimradi usiwape watu taabu kusikia hilo jina(unayajua majina ya kijapan sina haja kuyasema)

Muda mwengine Ban hutolewa kifisadi
Ban bado naisikia kwenye redio tu... Pole arif
Ahsante kwa ushauri...Lakini kule siasani kule...!!!
Ni kejeli+tusi!
Alaf ni kuvuruga mada!
lile jukwaa ni noma, ila kuna mtu nilimzima ki~style la sivyo lupango ingenihusu.
Ban bado naisikia kwenye redio tu... Pole arif
Ngoja ije kwako...